TANZIA Member deo paul55 wa JamiiForums afariki dunia

Yaani taarifa ya msiba itolewe kwa Jina fake sasa itakua na maana gani?Watu waende kuzika ID fake?

Pengine inafaa, ila naona Ina ukakasi! What if angesema information zote real akaacha profile ya Jamiiforums?

Au angesema hivi, atoe profile zote lakini aseme Njoo PM kama utaitaji kufaham zaidi kuliko kuweka in public?

Vipi, wewe unaenda msibani? Ushakati tickets?
 
I agree 1,000%

Gross violation of privacy rights expected at an anonymous forum.

R.I.P

Misdiagnosed and tormented for decades. Shame on the hospitals and health policy makers.

There must be a way ya kuficha identity ya mtu anapofariki, angeweza sema mtu anayetaka kujua zaidi aje PM or something, but huwezi mpaka weka picha yake kila kitu!
 
Kama ni kweli basi pole kwa ndugu zake na Mungu ampokee kwenye mikono salama
 
Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa, Jina la Bwana lihimidiwe.

Poleni kwa ndugu jamaa na marafiki wote mlioguswa na msiba.

Sote tu wasafiri na kuishi kwetu ni Kristo,kufa ni faida.
Mkuu, kufa sio faida.

Anyway, pole sana kwa familia ya marehemu.
 
Apumzike Kwa amani
Too young..too sad
 
Kijana mdogo sana kifo kimekatiza ndoto zake dah ila yote ni mipango ya mungu,inauma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…