Member wa Clubs kama Dar Yatch Club au Gymkhana wanajiona wamejipata sana

Kwenye inshu za golf zile v.i.p, wanaenda Kwa kazi maalumu mkuu, jamaa yangu ni accountants wa benki Moja mjini, alipelekwa na meneja wake pale ye mwenyewe akawa anashangaa naenda kufanya Nini ilihali mi sio mpenzi wa kucheza golf, jamaa badae alikuja kutambua kua dhumuni la kupelekwa pale lilikua kuwavuta wateja wale matajiri wakubwa town waje kwenye benki Yao na si kingine
 
Basi ni rahisi wewe kuwe FM ,coz wananzia huku junior club kuwaanda membership
 
Kama lengo ni kufanya mazoezi, tafuta gym ya jirani ulipie 60,000 kwa mwezi uanze kupiga tizi

Huwezi kulazimisha urafiki/ujamaa na mtu ambaye hataki

Sisi huku vijijini hatuijua hiyo gymkhana, lakini maisha yetu yanaenda kama kawaida
 
Mzee aliwahi muuliza kwann anapenda kushika white handkerchief
Alimjibu kwake ni alama ya amani,upendo tu
Sema kaunda machozi yk yako karibu sana 😄

Ova
Kaunda ni mcheshi sana, ukisoma history yake utagundua UK ilimuanda jamaa kuwa kiongozi.
Wa rais wa zamani walikuwa na Imani zao za kushangaza , uki mcheki Mzee kenyatta , ana usinga kashika.
Yan ukikuta Picha za ma raisi wa Africa, unasema hawa jamaa kabla ,hawajawa viongozi walikuwa ni masangoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…