macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Mimi nakubaliana nao kabisa. Ukiendekeza kima utavua mabua. Ngozi nyeusi ina kero nyingi sana no matter awe na elimu au fedha. Labda awe amezaliwa nchi zilizoendelea. BTW badala ya kulalamika kila kitu kwa nini tusiunde na sisi vya kwetu (kama tunadhani ni rahisi).Yaani Bora wawe wachache, kule Kuna connection, maboss sana wale man.
Hajaweka wazi kiingilio jamani.
Asante ila club kubwa ilitakiwa iweke wazi tu packages zao kwenye website.
- Packages: Contact info@tpcdar.com for details
Huko Instagram Masuperstar wetu ushunzi huwa wanatamba na vikadi vya vipati vyao uchwara invited, sasa na hizo club inabidi uwe i invited na wandewa wa hapo.ukiona hivyo
ujue sio pesa tu ndo kigezo
Haiko hivyo, miaka ile ya 90's tulikuwa tunatafuta nyumba za kupanga Cape Town, Internet ilikuwepo watumiaji computer maofisini hapakuwa na smartphone basi mambo mengi tulitegemea magazeti.Asante ila club kubwa ilitakiwa iweke wazi tu packages zao kwenye website.
Sasa miaka hii ya elfu 2 mambo hayatakiwi kuwa sawa na miaka hiyo.Haiko hivyo, miaka ile ya 90's tulikuwa tunatafuta nyumba za kupanga Cape Town, Internet ilikuwepo watumiaji computer maofisini hapakuwa na smartphone basi mambo mengi tulitegemea magazeti.
Sasa unanunuwa gazeti sehemu za matangazo unakuta nyumba kibao zinapangishwa maeneo mazuri tofauti basi ukipiga simu ya Agency lafudhi ambayo si ya mzungu inajurikana unaambiwa nyumba imeshachykuliwa tayari, tulipata tabu sana mpaka kujiongeza kumuomba Boss wetu Brendan ndio akapiga simu kwa wazungu wenzake anahitaji nyumba kwa ajili ya wafanyakazi wake ndio tunapata nyumba kwenye makazi ya wazungu Ronderbosch.
Kwahiyo huu mfumo upo Worldwide.
Kwani wewe kwa akili yako Getway ya Freemason and other society secret ni wapi? Ni yale matangazo kwenye mistimu kujiunga Freemason?Sasa miaka hii ya elfu 2 mambo hayatakiwi kuwa sawa na miaka hiyo.
Wewe mpaka leo unapiga marktime kwa sababu huna connection wala network, kuwin maisha kunahitaji hivyo vitu viwili ndio maana kuna wenye degree wameamua kuendesha bodaboda.Faida zake zipi?
huu uzi unaweza kukufanya ukatafakari tena
njia ya bora ya kujenga connection ya vizazi vijavyo
You can pay for school but you CAN'T buy class-Jay Zukiona hivyo
ujue sio pesa tu ndo kigezo
Yes,George and Dragon , iliungua moto hii kwani bado ipo? hapa makaburu wengi sana ,chaka la wapenda mpira wa RugbyUnakumbuka hiki kijiwe
Ova
Sihitaji boat,fishing rods ninazo,naulizia kuvua tu kawaida,kuna sehemu karibu na daraja la tanzanite nawaonaga wahindi wanavua,kuna siku nikasema nikajichanganye,nilikuja kutolewa mkuku mkuku 👮Pale hakuna gharama sana. Nadhani utachajiwa kukodi boti au vifaa vya kuvulia samaki
George and Dragon ilihamia Roof Top Coco Plaza siku nyingi.Yes,George and Dragon , iliungua moto hii kwani bado ipo? hapa makaburu wengi sana ,chaka la wapenda mpira wa Rugby
oooh ahsante,sikua najua wako wapi kwa sasaGeorge and Dragon ilihamia Roof Top Coco Plaza siku nyingi.
ipo very cheapWale wa Mwanza,Yatch Club bado ipo? Bwiru!!
Lilikuwa linaangushwa bakulutu huko siku ya Ijumaa miaka 20+ iliyopita.
🤣🤣🤣Yatch Club, nikasema nijaribu Ile short term membership, kufika unaambiwa application sio ivyo, lazima member mmoja akuinvite ndio unapata, mi ukoo mzima hatuna ata member mmoja.
Slip way hakuna mambo mengi ukiuliza watakupa utaratibu. Nadhani kuna upande wanaruhusu kule sehemu ya kupandia boti za Mbudya. Huku kwenye parking za boat na workshop(slip way) hakuna wa kusumbua kikubwa usalimie wenyeji.Sihitaji boat,fishing rods ninazo,naulizia kuvua tu kawaida,kuna sehemu karibu na daraja la tanzanite nawaonaga wahindi wanavua,kuna siku nikasema nikajichanganye,nilikuja kutolewa mkuku mkuku 👮View attachment 3673859
Nimekupata mkuuSlip way hakuna mambo mengi ukiuliza watakupa utaratibu. Nadhani kuna upande wanaruhusu kule sehemu ya kupandia boti za Mbudya. Huku kwenye parking za boat na workshop(slip way) hakuna wa kusumbua kikubwa usalimie wenyeji.
Jioni pia unaweza kukaa mitaa ya Pale Mapenzi Beach(Beach Mavi), Mikocheni Warioba nyuma ya nyumba ya Mzee Bomani mpaka mitaa ya Escape 1 ukavua wakati wa maji mengi. Unakaa juu ya zile concrete za city storm drain.