Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Tenaa ntamtoa msongo wotee,
Atakua mpya na kunawiri huyu ndugu yenu.
Nipo kuhakikisha anafurahia uwepo wake hapa duniani, niko kwa ajiri yake.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒHizi raha hazitoniua kwelπŸ˜ƒπŸ˜ƒ


Mbona kama mtego huuπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Hapa naona ndoa za mabwabwa na MAJIKE SHUPA yaliyozeeka na kujichokea!

Ni mwendo wa kujipigia kampeni uchwara huku vigimbi vimewasimama wima yaani dede! VIGIMBI MCHOMOKO vya fidodido!

Hivi kweli mtu kama yule ajuza aolewe na makunyanzi yote yale usoni??

Na yule mnyakyusa na wowowo lake kubwa kama furushi la magimbi kweli aolewe! Khaaaa!!!

Hebu huko, mtuache vigoli jamani na sisi tuolewe.... hamuachi mna nini! Hahahaaa chefuu.... mimama mizima kutaka kuolewa inahusu mxiiieeeewwwwh.

Cc: The Icebreaker adriz Harmful cocastic Balqior Extrovert Mbaga Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…