Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 6,039
- 12,571
Usimfanye shemeji ajihisi vibaya, hatujafunzwa hivyo sisi ndugu yangu πBa tamu acha uongoo, hutaki kunifungulia Acc hiyo mmmh.
Sikubaliii mie, ππππππ
Unaweza kupigana na dosho12 π€£π€£Mimi King Suleiman19 najiona nafiti kabisa kuwa couple with Mallerina
ππππππ wee uduguuu, sasa itakuajee?πΉπΉπΉ Bi harusi tulia chumba chako tushapangisha wewe kalale uchi kwa mumeo..!!
πKumekucha.......kwani ulikuwa unajiita nani πππππ
SK wangu yukwapiii? Au kaenda kuninunulia acc ya efootball?
Account ya hao watu mpaka ipatikane ni badget ya sherehe ila kwakuwa sisi mashemeji tupo tutapambana ndugu yetu anunue tu πππEti mejiii akee, ππππ
Kaenda kuchungulia akiba bank, hiyo account ni mufilisi kabisa πππSK wangu yukwapiii? Au kaenda kuninunulia acc ya efootball?
ππππππ
Sherehee tuachee, em aninunulie acc hiyo.Account ya hao watu mpaka ipatikane ni badget ya sherehe ila kwakuwa sisi mashemeji tupo tutapambana ndugu yetu anunue tu πππ
Popote pale muhimu account ipatikane πππMuende kwa Modric ππππ
Jamaniii sa itakuajee? Au mie nibaki na DLS.Kaenda kuchungulia akiba bank, hiyo account ni mufilisi kabisa πππ
Daah Asante kaka kulikuwa hamna kula ni kushuhudia na kuondoka πila umefanikisha hiliDuh! Basi mungu afanye wepesi, nitachangia nyungo 10 za ming'oko kwa ajili ya wageni waalikwa watakaofika siku moja kabla ya shughuli.
Swadaktaaaa!! Ndo napo kukubalii mejii ake.Popote pale muhimu account ipatikane πππ
Hahah shemWawili na kamchepuko shem.
ππππππ em akujee SK wangu, nimesha muhamu. Nampenda ba tamuu.
DLS game la watoto wa shule, halikufai shemeji πJamaniii sa itakuajee? Au mie nibaki na DLS.
Nisimtie hasara ba tamu angu, nampendaaa atiii.
ππππππ