Utashona shati la kijora usijali πΉπΉFunga vya mtandio ili mjifunge na kibwaya π
Kwa kutumia kigezo gani?? ππ
Harmful score hii kwenda juu, naona kabisa ndugu zangu mna mambo mengi nyuma ya pazia mnanificha.ππ Nitaua mtu
Ndio nani huyo waifu material jina linaeleza yaliyomo yamoEdo kissy na waifu material ??? Mmmh!! Ngoja tuone π
Heee yaani ivi mnajuaje mpole wakuuπ
Ebu tuoneπ€Nimepitia uzi vizuri naona kwenye familiya yangu ni mmoja tu ndo ametajwa sana dosho12
Joanah na Lamomy naombeni mnisaidie kwa hawa ndugu zangu nao wapate hata wa kuwalia hizo pesa za saidia fundi.
πππ
Selikavu
Edo kissy
Kuhusu Intelligent businessman sina shaka nae ila nina wasiwasi na TheNomad maana nae hakutuletea mrejesho kama amepata wakuendana nae.
Khalas π
ππππNdio nani huyo waifu material jina linaeleza yaliyomo yamo
A a.. em ngoja kwanza, kwahiyo huyo mke alokabidhiwa si ndio huyo hapo juu!πππKaka ulikuwa mbali sana huyo bwana amekabidhiwa mke na ndugu wa mke halafu dosho12 mtu akileta ujinga kwenye Jimbo lako tutag tukamshambulie kwa pamoja ππ€£π€£
Ndiyo huyo halafu mtoto mwenyewe kaelewa hana makando kando daah Raha naona mieA a.. em ngoja kwanza, kwahiyo huyo mke alokabidhiwa si ndio huyo hapo juu!
ππππKitu gani uduguu em samaraizi πΉπΉπΉ
Ninae na ninatamba nae, ππππNdo hivyo komaa na SK πΉπΉπΉ
ππππWe nawe umezidi kuzubaa em mchambe akanywe dawa zake πΉπΉπΉ
Eh haya bhana wacha tusubiri mwaliko.Ndiyo huyo halafu mtoto mwenyewe kaelewa hana makando kando daah Raha naona mie
Thank you shem shem, gudi naiti too
ID yako ya mwanzo ulikuwa nani nihakikishe ππππNipo ila nilibadili jina la ID
Basi sio wewe πππππ
Ma babe kesho kutwa mbali Si tuoane keshoThank you shem shem, gudi naiti too