The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Wala sihitaji kukuhakikishia kitu chochote wala kuprove anything,ID yako ya mwanzo ulikuwa nani nihakikishe ππππ
Si unanijua me mbappe wiki ijayo naamia kwengine π€£π
Kweli kabisa, tufanye usiku huuMa babe kesho kutwa mbali Si tuoane kesho
βΊοΈβΊοΈβΊοΈNdo maana aunty kanichagulia wwπ hayo ndio mahaba sasa, na jela tunaenda wote , wazungu watatengeneza movie kutokana na maisha yetu π π
Kwanini isiwe mimi na wewe?
Muimba SINGELI na dosho12 njoeni mnifungishe ndoa usiku huu sitaki kupoteza mtoto mkaliKweli kabisa, tufanye usiku huu
Acha mambo mengi mkuu tulia na huyo mwanadada.Si unanijua me mbappe wiki ijayo naamia kwengine π€£π
π€ duh! Mkuu tusubiri hata asubuhi basi, huu usiku shehe au mchungaji tutamtoa wapi!!Muimba SINGELI na dosho12 njoeni mnifungishe ndoa usiku huu sitaki kupoteza mtoto mkali
Nina mzuka na ndoaπ€ duh! Mkuu tusubiri hata asubuhi basi, huu usiku shehe au mchungaji tutamtoa wapi!!
Mtumeeeeeππππππ€£π€£π€£π€£ππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏπ€£π€£π€£π€£π₯±
Sawa mkuu, lakini tusubiri pakuche kwanza.Nina mzuka na ndoa
πππππMume gani anakaa porini muda wote km baboon πΉπΉπΉ
Asiyekuwepo na lake halipo πΉ
Baasi.Tutakupiga tukuue shem.
Wachaa wee ππ
Ndugu Una macho saana ndugu yangu...
nusu muamerika anafukuzia na yeye au