Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Faizafoxy hata hapa JF tu nilishampeleka ignore list mnanitafuta nini nyie watuu?
Mkuu mnaweza kuwa kuna mambo hamkubaliani, ila mnaweza kuta kuna mambo mkaelewana balaaa.

Yaan behind keyboards, kwenye realistic ni watu tofauti, mnapatana fresh mkamek bonge la bond...

Hujawahi sikia watu wameoana but before that they were great enemy??

Hii ishatokea saana
 
Ila si kwa Faizafoxy mkuu.

Hapo utakuwa unanichokoza tu.

Yani Faizafoxy kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…