Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Wifi yako yupo mahali ametulia tuliiii!!!!!!! hana miluzi mingi, siku namtoa kwenye marakatasi utamuona!Aaaah jamaniπββοΈπββοΈπββοΈ
Dogo hebu kuwa serious basi!
Mtaam anapatikana huku kjjnShem darling nisaidie kupata mtaalamu.
Tulia kwa mume mwezi usiishe uanze kula udongo, mashem na kina mamkubwa tunataka kumuona SK jr πΉπΉπΉππππππ wee uduguuu, sasa itakuajee?
Da Mau anachagua wa kuchamba kanichekesha ila πΉπΉπΉππππ
πΉπΉπΉ Yeye anajitoa kwann??Kwanini isiwe mimi na wewe?
Huyo alishanikataaga, nilijitosa kwenye kinyang'anyiro nikatoswa.πΉπΉπΉ Yeye anajitoa kwann??
Eti Vishu Mtata wewe huitaki pisi ya kidaktari?
salama kabisa kipenziUmeamkaje baby?
sawa mpenziHapana, huyo ni mdogo wangu, hivyo ni shemeji yako
Kwamba wakati yeye anaingia humu wewe hukuwepo? πTumeonana wapi jamaniπ π
Nilikuwa nimetokaπ€£Kwamba wakati yeye anaingia humu wewe hukuwepo? π
Atakuwa yupo bize na ujenzi wa taifaππ
Hata najali sasa,ipo sikuMwanakwenda
Ole wako nisiwe mimi ntakurogaWifi yako yupo mahali ametulia tuliiii!!!!!!! hana miluzi mingi, siku namtoa kwenye marakatasi utamuona!