Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Huyu jamaa kila siku anajua kusema mm natoka na wamama an kila kukicha mkuu mpaka watt wa 2k wananiona mimi jau an ππππNaomba niwe promota wa pambano
ππππππHuyu jamaa kila siku anajua kusema mm natoka na wamama an kila kukicha mkuu mpaka watt wa 2k wananiona mimi jau an ππππ
Na yeyote πVincenzo Jr na #""@_###&#
Pombe au movies chagua kimojaNa yeyote π
Matching me with Faizafoxy should be a crime against humanity.Kiranga unorthodox....
ππππππ Inamana utaki toto la kiarabu hilo
Bora movie π₯ πΏ juzi nililipia savannah unlimited bando nimedownload movie kibao zile latest kabisaPombe au movies chagua kimoja
ππCrime against humanity πMatching me with Faizafoxy should be a crime against humanity.
Nawatafuta ICC wafungue kesi The Hague πππ.
Wamekukosea mnoo mnooo πππππMatching me with Faizafoxy should be a crime against humanity.
Nawatafuta ICC wafungue kesi The Hague πππ.
Mkuu nakukuta wapi na hii external yangu 500GB niliyoibebaBora movie π₯ πΏ juzi nililipia savannah unlimited bando nimedownload movie kibao zile latest kabisa
Tupige kwa mkupuo mapacha 4, tumalizeππββοΈYeah mke wangu kilichobaki kuwaaisha wakina junior shule tu π
Yani wanawake wote hawa unaenda kunipanga na Faizafoxy?Wamekukosea mnoo mnooo πππππ
Wewe unatakaje sasa mkuu maana mpaka watu wamekuachagulia wameon kabisa mna chemistry
Hiyo mimba Sibebi Mimi ujue kama upo tyr hamna shida tupige hata saba hiviTupige kwa mkupuo mapacha 4, tumalizeππββοΈ
π³π³π³π³π³π³Umekuwa mnyimi sana siku za karibuni, unataka niishije!!
Wewe naona unatutania, tutaingia kazini wenyeweπ€£π€£Wifi yako yupo mahali ametulia tuliiii!!!!!!! hana miluzi mingi, siku namtoa kwenye marakatasi utamuona!
π€£π€£π€£ shem utapeli hujaacha tu!!!Mtaam anapatikana huku kjjn
Amesema tuma pesa hapo Kwa wakala chap tupate jogooo dume kufanikisha zoezi
Hakikisha kabla ya reply pesa imefika
Namba ni Ile ile