Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

πŸ˜‚πŸ˜‚Sawa tuongezeke lakini huoni hatari ya hawa watu kuwa pamoja?
Mbona nimemtahadharisha mapema sana, akijifanya mjuaji sana hatutohusika kwa lolote πŸ˜‚

Akae makini na kufatilia story za watu wapole ili asiingie kichwa kichwa, asipokuwa na fujo wataendana sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…