Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

Harmful binamu unaenda kuharibu sasa tukose hizo ng'ombe🀣🀣🀣
Kawivu kambali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ me naondoka ndoa ipite salama halafu huyo mwamba umeendana naye

Ila siku ya harusi usivae viatu virefu ili uweze kukimbia me nitakuja na gari

Harusi njema binamu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi hayo mafunzo nimehitimu miaka 10 iliyopita, nina mkanda mweusi kijana.

Kama vipi njoo na huyo ticha wako Ayubu.
Kaka unamjua ayubu lakini..
Mkuu unamjua ayubu wa hapa markasi
Mkuu jamaa anashiriki mapaka mashindano ya judo ujue...

Mkuu huyu jamaa ana hatareee sana ujue
 
Harmful binamu unaenda kuharibu sasa tukose hizo ng'ombe🀣🀣🀣
Kamati inapitia hizi comments kwa uchambuzi wa kina πŸ˜‚

Mkijichanganya tutawafurahisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…