Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Watu wanapigwa sana kwenye ushuru870 mill bila ushuru, ukiongeza ushuru billion na poing zake.. zile chuma kubwa sana, ila naona zilo na luxury kubwa sana.. walikuwa wanafanya comarison na S680 naona S alikalishwa chini.. V8 sport naona lipo la V12 au W16 kama sijakosea
roho mbaya tu za watu hasa wenye kutunga hayo masheria ya kodi. tungekuwa na viwanda ndani hapo sawa tungesema wanatengeza mazingira tununue vya ndani. mtu una mtoza ushuru sawa na bei aliyonunulia dahWatu wanapigwa sana kwenye ushuru
Yaani wqnashindwa kubuni njia zingine za kuongeza mapato
Panda hata ndotoni mkuu.Mimi sina, hakuna ndugu yangu mwenye nalo wala sina rafiki aliye nalo! Nitalipandia wapi sasa mkuu?
Tukitoa ushuru wengi wenu mtanunua na wengi wenu ukinunua dola itaenda nje sana. Mwisho wa siku tutakuwa hatuna dola. Kitachopelekea kushuka kwa shilingi na kushindwa kulipa madeni.roho mbaya tu za watu hasa wenye kutunga hayo masheria ya kodi. tungekuwa na viwanda ndani hapo sawa tungesema wanatengeza mazingira tununue vya ndani. mtu una mtoza ushuru sawa na bei aliyonunulia dah
Dollar, nchi ilitakiwa iuze vitu nje, sio kuongeza ushuru. Ongezeko lao la ushuru na uhaba wa dollar havihusiani.. maana huo ushuru bado unalipwa kwa local sarafu..Tukitoa ushuru wengi wenu mtanunua na wengi wenu ukinunua dola itaenda nje sana. Mwisho wa siku tutakuwa hatuna dola. Kitachopelekea kushuka kwa shilingi na kushindwa kulipa madeni.
Na pia ushuru ukitolewa gari zitajaa barabara hakunaTukitoa ushuru wengi wenu mtanunua na wengi wenu ukinunua dola itaenda nje sana. Mwisho wa siku tutakuwa hatuna dola. Kitachopelekea kushuka kwa shilingi na kushindwa kulipa madeni.
Kuna gari ni mbovu kidogo kampuni imesema kutengeneza itagarimu hela nyingi kama naitaka niichukue bureroho mbaya tu za watu hasa wenye kutunga hayo masheria ya kodi. tungekuwa na viwanda ndani hapo sawa tungesema wanatengeza mazingira tununue vya ndani. mtu una mtoza ushuru sawa na bei aliyonunulia dah
Kama huna attention to details, Usipolipanda au kuliendesha huwezi kuelewa utaona ni just expensive box.
ilikuwa gari gani mkuu ?Kuna gari ni mbovu kidogo kampuni imesema kutengeneza itagarimu hela nyingi kama naitaka niichukue bure
Nikaona isiwe shida gari ya 2010 niangalie ushuru ikagonga 10m nikaona upumbavu huu ingawa ya bure
Acha ikavunjwe vunjwe na mashine tu
Sio roho mbaya boss ni wajinga wasiojua mbinu zingine za kuingiza mapato serikalini
Sadiq Khan anatubamiza ila ndio kachaguliwa kwa mara ya 3 kuwa Mayor
Kwa sababu anaingizia serikali kwa siku zaidi ya £4m kama sikosei zidisha kwa sh 3000
Nissan mkuuilikuwa gari gani mkuu ?
Kukosa ubunifu maana yake tunaishia kwenye state ambayo ime fail
Nilichoandika kililenga mtu kama wewe.Mimi naliona kama Probox lililochangamka wala siipendi hata kidogo, ni probox SUV like..!!
Hivi niache V8 VXR au Lexus 470 au Prado VX 150 alafu ninunue Mercedes Benz G-Wagon, box kabisa lile…!!
Sawa! Nimekuelewa. Nitaanza leo.Panda hata ndotoni mkuu.
Mkuu upo London?Kuna gari ni mbovu kidogo kampuni imesema kutengeneza itagarimu hela nyingi kama naitaka niichukue bure
Nikaona isiwe shida gari ya 2010 niangalie ushuru ikagonga 10m nikaona upumbavu huu ingawa ya bure
Acha ikavunjwe vunjwe na mashine tu
Sio roho mbaya boss ni wajinga wasiojua mbinu zingine za kuingiza mapato serikalini
Sadiq Khan anatubamiza ila ndio kachaguliwa kwa mara ya 3 kuwa Mayor
Kwa sababu anaingizia serikali kwa siku zaidi ya £4m kama sikosei zidisha kwa sh 3000
Sadiq Khan anaingizaje £4m? Kwa shughuli zake binafsi?Kuna gari ni mbovu kidogo kampuni imesema kutengeneza itagarimu hela nyingi kama naitaka niichukue bure
Nikaona isiwe shida gari ya 2010 niangalie ushuru ikagonga 10m nikaona upumbavu huu ingawa ya bure
Acha ikavunjwe vunjwe na mashine tu
Sio roho mbaya boss ni wajinga wasiojua mbinu zingine za kuingiza mapato serikalini
Sadiq Khan anatubamiza ila ndio kachaguliwa kwa mara ya 3 kuwa Mayor
Kwa sababu anaingizia serikali kwa siku zaidi ya £4m kama sikosei zidisha kwa sh 3000
Nchi 215?Nimeendesha Benz tofauti tofauti na sijawahi kujutia hata siku moja
Kwanza Wajerumani wana umakini sana katika kufanya mambo yao na ndio maana vitu vyao ni bei juu
Hata ujenzi na kila kitu
Kama unataka nyumba waliyoipaki wanakuletea na kuijenga kwako kama mnavyoona Sanlg wanavyofunga 😄
Hizi G Wagon hata Pope aliagiza mwaka 1980 tena aliundiwa yeye na madoido kibao
Kwanza iko juu kuliko gari zingine ina 7G tronic gearbox, na permanent wheel drive
Kuna jamaa mmoja Ganther Haltorf aliendesha G Wagon nchi 215, na maili 559,234 na haikuharibika hata siku moja
Heshima kwa Benz hata kama la zamani
G Wagon lipo kwenye orodha