Mercedes Benz G Wagon lina upekee gani?

Mnachonikasirisha nyie madiaspora ni kwamba mna "maideas" mazuri ila mmeyakalia tu huko duniani! Unafikiri wanayajua hayo unayoyazungumzia?
Zote hizi ni point:
1. Kumuajiri Sunak
2. Camera
3. Kumuajiri Black Sniper, ingawa kwa mfumo uliopo, nahofia ukishaingia tu na wewe unaweza ukaanza kuitikia nyimbo utakazozikuta zikiimbwa.
 
Ukiona vyaelea ujue vimeundwa!
 
😂😂😂😂
 
Wewe una passport kubwa mkuu, kwa nini uhonge?

Mimi nataka nifanye ya Mwanza - Dar kwa baiskeli. Mwanzoni nilitaka kufanya kwa miguu lakini baada ya kutafakari nimeona itakuwa "too much". Bora baiskeli.
Africa kuna nchi nyingi zina mapigano kukatisha ni shida sana hata wazungu wanaombwa bakhshish kutwa haijalishi gamba gani
Wengi wameona wakikupa visa kama haki yao kupewa hela

Hongera Boss ukiweza ni nzuri sana ila kuna jamaa mzungu alikwenda Afrika nchi moja kwa baiskeli akiwa amechoka kalala wakapitia kila kitu
 
ila maisha ya London ni expensive sana kulinganisha na huku
Ila London ni London tu mkuu! Huwezi kupalinganisha na huku.

Hata Arusha maisha ni expensive, lakini mema yaliyopo London yanafanya wengi wapatamani London badala ya Arusha!

Si unaona hata wale wakimbizi walipotakiwa wapewe makazi Rwanda walivyotia ngumu? Hawapendi kuondoka huko Ulaya hata kama wangeahidiwa kupewa mashamba Rwanda au Tanzania.
 
Sure mkuu, ila London ni noma mzee.. One day nitatimba hapo kula kahawa tu akafu narudi bongo.. Napapenda sana
 
Ni wapi huko mkuu walikopita na vitu vya Mzungu? Ni yule aliyepitia Tanzania akielekea South Africa?

Hata hivyo mimi safari yangu itakuwa tofauti kidogo:
1. Nitakuwa na kampani ya watu kadhaa
2. Nitalala lodge/hotelini
3. Nitaweka utaratibu wa kupata usaidizi wa mahali pa kulala ikiwa nitalazimika kulala mahali pasipo na nyumba za kulala wageni. Nitaomba kulala hata kwenye nyumba za ibada.
4. Kabla ya kufanya safari, nitasurvey kwanza kwa gari ili kujua vituo vya kupumzikia
 
Nafikiri ni huyo
Jipange sana na uwe mwangalifu na tahadhari hata wanyama wanaokatisha barabarani
Angslia video za waliopiga route hozo kwa baiskeli boss
 
Kuna hana hata baiskeli kabaki na mshangao asijue cha ku comment
Ajitie ujasiri acomment chochote atakachokiona ni sahihi!

Kutokuwa na baiskeli si ulemavu! Kuna wenye baiskeli lakini hawana hata simu aina ya ITEL ya buttons, lakini yeye ana simu janja inayompa access ya Jamii Forum!
 
Nenda wanapouza waombe wakuwashie tu ukiwa ndani afu utaleta mrejesho apa,bongo hatueshimu sayansi kabisa watu wanakaa chini na kuleta vitu bora unakuta mtu anakejeli hiyo G wagon ni special car for specia peason kaka ina unyama mwingi sana hutaamini ukiwa ndani ya hiyo gari.
 
Sure mkuu, ila London ni noma mzee.. One day nitatimba hapo kula kahawa tu akafu narudi bongo.. Napapenda sana
Hata usipokula kwa siku tatu unaweza usijue! Ukiwa busy kupashangaa London njaa nayo itaenda likizo. Utakuja kugundua kuwa hukula kwa siku tatu ukiwa kwenye ndege unarejea nyumbani!
 
Mkuu, ulishawahi kupita sokoni ukiwa huna hata shilingi? Sijui kama kuna mtu mwoga kama asiyekuwa na hela! Utakuwa ukiwaza, "hivi itakuwaje nikikanyaga nyanya za watu?"

Mtu unatembelea IST utautoa wapi ujasiri wa kwenda kuagiza uwashiwe G Wagon?

Labda kule Ulaya hilo linaweza kufanyika, lakini kwa Tz, unaweza ukafukuzwa na IST yako.
 
Niliwahi kushukiwa na neema ya kupata lift kwenye hii chuma,,,nyieeeee!!!!!View attachment 3045311
😄 nimebahatika kuyaendesha mapya kabisa mengine mpaka maili 3 inasoma
Asikudanganye mtu kuwa gari mpya ina zero mileage hata kama umeletewa kwa kubebwa na gari nyingine

Nimeendesha aina zote yaani kila toleo likitoka nilikuwa nawapelekea customers kujaribu na wakipenda wananunua

Yaani wanajaribu kwanza na weekend tu ni kama laki 7 na nusu ya bongo na ukiharibu imekula kwako
 
Utaliwa na simba wewe acha kuiga akili za wazungu.
Bora umenikumbudmsha! Sijawahi fikra Ngorongoro. Nitafanya mpango wa kwenda huko hivi karibuni ili nikawaone Wamasai wanavyoishi na Simba kwa amani!

Kuhusu safari yangu ya Mwanza - Dar kwa baiskeli, usiwe na hofu juu ya usalama wangu! Wanyama wote, wakiwemo Simba, wanaiheshimu.

Safari yangu itakuwa ya amani tele!
 
Hii nayo ni mpya kwangu😄

Sasa kwa nini waseme ni zero mile?
 
Utafiti wao unadai kwamba, G Wagon tokea waanze kuzizalisha, 80% bado zipo road. Huku kwetu zile za miaka 80-90 bado zinaonekana road.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…