Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

mkuu Tera La Vista..wake up....fanya research...hivi vitu vipo..ingia you tube,google etc....
Uelewa wake ndio umekomea hapo.
Yy anadhani wanavyo sema copy ni kama photocopy za kwenye makaratasi ;haimuingii akilini kabisa.
Angeweza kujishugulisha ata kwa dk 5 tu kutafuta ukweli angeona nyumba hiyo wameishatengeneza.
Zamani Galileo mwana sayansi wa kwanza aliyesema kitu tifauti na mapokeo ya kanisa la Romani kuwa dunia inazunguka jua.
Jamaa alipata adhabu ya kuuwawa.
Bt baada ya miaka mingi ikaja kugundulika ni kweli dunia yetu inazunguka jua.
So wasiotaka kujishughulisha na akili zao lazima watabaki nyuma.
Mfano miaka 20 nyuma angetokea mtu akasema itafikia kipindi ukitaka kumuandikia barua bibi au babu au jamaa yupo bara lingine atapata ujumbe ndani ya 2second nadhani watu wangetoka povu sana.
But leo barua pepe unawasiliana na mtu within second.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Niliwahi kuwaambia jamaa zangu wa karibu kwamba "kama kuna mtu unapswa kumuogopa na kumkwepelea mbali kwenye dunia hii ya leo basi ni mtu anaitwa entrepreneur"
 
Yeah kwa Maelezo yako kuntu, Elon Musk Ni Balaa ktk mapinduzi ya Sc. n teknolojia kwa Sasa. Lakini, sidhani kama Anfikia Level za Akina Nikola Tesla na Albert Einstein.

Nchi nyingi zilizoendelea zimewekeza zaidi ktk hii science ya Artificial Intelligence (AI). Nawashangaa zaidi kwa wale wenzangu na Mimi wanaobisha bila 7bu za msingi.

Waingie kwenye waya tu kwani kila kitu kipo huko...

Hongera kubwa bwana Ontario...Big up sana.
 
Yaani unaweza ukaona ni kwa jinsi gani Nchi Masikini/Zinazoendelea kama Tz tutakavyooachwa nyuma na mapinduzi haya Sc. na teknolojia. Yaani mtu anabisha from no where, bila kuwa na 7bu za msingi.

Yaani mtu wa aina hiyo hata ukimwambia aingie mtandaoni/you tube ili aone uhalisia, bado atakwambia alichokiona akina uhalisia...

Hivi hajasikia kuwa hata hapa bongo (ktk taasisi ya JK) wamefanikiwa kufanya surgery/upasuaji kwa mara ya kwanza kwa kutumia computerized machine bila kumpasua mgongwa na visu, na operation ilifanikiwa 100%.???

Watu wengine bana!!!!!!
 
Kuna msemo kwenye bible unasema husimuavbe elimu aende zake.
Mshike sana elimu.
Hii ina apply wether ur beliver or not.
Sasa mtu kwa kuwa hajawahi kusoma ata kitabu kimoja ndani ya miaka 5 alafu Ontario anakwambia amesoma vitabu 80 ++ kwa mwaka mmoja tu bado unatakauanze kubisha.
Na unaenda mbalia kusema eti ni muongo.
Sasa mtu kama hiyo ata umpe nn hawezi kuendelea

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Gudume kila jukwaa upo vizur mm nkajua tu kule kwenye mambo yako ya fis umebiua fisi [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Tena ilikuwa operation ya moyo sasa
 
Kweli kabisa Mkuu...
 
sasa huo msemo mbona wewe ndugu yangu hukuufanyia kazi? ungeufanyia kazi huo mstari ni mzuri.

 
Wewe ni mwandani wa jamaa au?
Kwanza kabisa mimi sio Mwandani wa Ontario.
Alonso14,yaani kumwambia Tele avista aende google,you tube kuprove aliyo yanongelea ontario ndo nimekuaa mwandani seriously?

Focus kwenye mada,mfano Rwanda wamefanya pilot study ya kuangalia uwezekano wa kutumia drones kusafirisha dawa nk vijijini ili kuweza kuokoa maisha ya watu.And that is Technology Alonso14!!
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…