META imezifunga kurasa zote za Mange Kimambi

Hivi kalishindaga Lottery ama namna ganii?
Maana inaonekana ana permanent permit ya kuishi US!
 
Hivi huwa ana ndugu kweli au kabaki peke yake duniani? Maana hanaga aibu anamatusi kinoma kwa mtu ambae una watu wa karibu unao heshimiana nao huwezi kuwa na ujasiri wa namna ile maana ni kama unavua nguo sokoni mchana kweupe
 
$1200 iwakasirishe meta?!..nyie ndiyo mazamwamwa yake anayoyalisha shudu,eti samia anataka kumfanya mwanae abdul kuwa mkuu wa majeshi Ili atawale milele na nyie mnaamini
Hii ya Samia kutaka kumfanya mtoto wake mkuu wa majeshi nilivyoona watu wanaamini nilishangaa sana maana ni jambo lisilo wezekana labda huyo mtoto wake angekua tayari yupo ndani ya jeshi na siyo sahivi kwa miaka aliyobakiza madarakani kashachelewa hiyo plan haifanyi kazi
 

Hakika tz nitajili mpaka meta wame kaaπŸ˜€πŸ˜€
 
Actualy wasichujua watu, kwenye terms and condition za meta , kuna kifungu ambacho kinatoa nafasi ya goverments kutoa taarifa kama inazushiwa uwongo. And wao wakidhibitisha wanafunga

Most of people hawasomi term and condition
Hawa wafuasi wa Mange Kimambi Wana akili kweli ya kusoma terms and conditions kweli!?
 
Serikali ya Tanzania inatumia gharama kubwa sn kupambana na Mange badala ya kupambana na umasikini wa watanzania
Serikali haijaamua wala haina mpango WA kuhangaika na mama ma wig aliyezini na Baba yake hadi akajiua, anahangaika na kivuli chake mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…