META imezifunga kurasa zote za Mange Kimambi

Aisee
 
Yule ni mpare, ataenda mahakamani
Tunaposema Serikali Ina mkono mrefu iwe munatuelewa.
 
Mazombie mengi nchi hii
 
Kweli mkuu upo sahii,Kama angekua anafichua maovu ya serikali tu,ingekua poa..ila kuingilia Faragha za watu sio jambo Jema...
Hapa mkuu kuna uzembe wa watu wote wawili, Victims na connector.

Watu wanafanya ujinga bt wapo makini, Especially ukiwa celebrity ndo unatakiwa kuwa makini zaid kusiwe na loopholes.

Victim akiweza kulinda privacy yake bas nothing will happen.
 
Second amendment
 
Maria Sarungi naye afungiwe pamoja na yule anayejiita Kigogo 2014 ili nchi itulie. Hawa wanachafua nchi yetu mbele ya mataifa mengine. Hakuna nchi hapa duniani inayoruhusu mambo wanayotenda hawa watu ambao kwanza hawaishi hapa Tanzania. Ni puppets wanaotakiwa kukamatwa na kushughulikiwa kwa mjibu wa sheria zetu.
 
Ngoja afunguliwe aje kumalizana na kijani chenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…