Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

So long as sitakatazwa kujikinga na mvua hapo nikiwa na kilevi changu huku nimevaa nyanya puzo na mwenzangu akiwa na Bikini...., Tofauti na hapo watakuwa hawanitendei Haki mimi na Imani yangu ya Kwenda Beach kupunga upepo...
 
Peponi hakuna dhambi,dhambi(kosa) ni duniani,ili muishi vizuri kwa utaratibu,pombe inawapa visukari,haribu ini, ajali nk..ndiyo maana vikakatazwa,Sasa unataka vikatazwe Hadi peponi..kwa nini!?
Soura 5:90-91
Basi Allah ni muongo.
 
حَتَّىٰ إِذَا بَلَغَ مَغْرِبَ الشَّمْسِ وَجَدَهَا تَغْرُبُ فِي عَيْنٍ حَمِئَةٍ وَوَجَدَ عِنْدَهَا قَوْمًا ۗ قُلْنَا يَا ذَا الْقَرْنَيْنِ إِمَّا أَنْ تُعَذِّبَ وَإِمَّا أَنْ تَتَّخِذَ فِيهِمْ حُسْنًا
Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika checmchem yenye matope meusi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema.

Kwenu kigoma jua halizami ziwa Tanganyika!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…