Meya wa Jiji la Dar kuzindua kinachoitwa 'Chawa wa Mama'

Rais Hassan anajua nguvu yake ndogo na nyepesi muhimu ajipange kwa nguvu ya ziada kuvuka vikwazo, Musiba alikuwa chswa wa Magufuli
 
Iliyofutwa ni halmashauri ya Ilala , ikapandishwa hadhi na kuwa Jiji la Dar , lengo la Jiwe ni kuengua Temeke , Kinondoni , Ubungo na Kigamboni , kutokana na Wivu tu na roho mbaya tu
Sasa kuna Jiji la Ilala au halipo tena?
Pili je jiji la Dar Bado lipo au lipo la Ilala?
 
kwa maneno mengine, kama jambo hili lingekuwa lipo huko duniani - ungekuwa ni mkutano wa ufunguzi wa wafuasi wa raisi "husika" sasa sijui ni kuwajua wafuasi, kuwatia moyo au nini! Na hii ni Januari, karibu tanzania!
 
Sasa kuna Jiji la Ilala au halipo tena?
Pili je jiji la Dar Bado lipo au lipo la Ilala?
kuwa mwepesi kuelewa mkuu , ilala imebadilishwa na kuwa jiji la Dar , wengine wametimuliwa , yaani Buguruni kwa Mnyamani ni Jiji lakini masaki , Mbezi Beach , oysterbay ni nje ya jiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…