Mfalme ‘akiuawa’ huwa inachukua muda mrefu sana Taifa kupona

Mkapa angewezaje kukemea haya yaliyo tokea October 29 hali ya kuwa yeye mwenyewe alisha fanya hayo hayo huko zanzibar?
Kiufupi rais yeyote watz kiapo chake cha kwanza ni kihakikisha maslahi ya ccm yana simama alafu ya nchi ndo yafuate.
Ni swala mda tu, Zanzibar, itamilikiwa na Tanganyika watake wasitake asema Bwana
 
.....Ndiyo alikuwa Dikteta, Ndiyo alikosea mambo mengi tu. Lakini kwanini mlimpitisha mkifahamu tabia zake fika. Kwanini hamkusubiri amalize muda wake kama ambavyo mlimvumilia CHEKI-BOBU aliyekuwa anafanya mambo ya ajabu Ikulu yenye madhara makubwa kwa nchi ???


Duh hii inaumiza sana ila ndo hapa tulipo ss hakuwezi kutulia
 
Kama bi chura akikata moto ntafanya boonge la party
Ni kula na kunywa siku 3
Kuwakumbuka masela wangu waliotangulizwa wakidai haki zao

Anyway mkuu una madini
Respect toka kitambo!
chonde chonde hiyo party unialike mkuu, kama itakuwa mbali sana nitashiriki hata kwa njia ya mtandao.
 
 
Nani ana hiyo moral authority ya kumtambulisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…