Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
kiukweli mimi huwa najiuliza maswali mengi kuhusu dunia na maisha hadi kichwa kinauma. ila kwa post zako humu inaonyesha kuna kitu unakifahamu kuhusu huu ulimwengu japo kidogo ila sijui ni kwa nini hautaki kukiweka wazi.Upo sahihi sanaaa kiongozi
But wachache wanajua A-Z ya ulimwengu huu!
Binafsi kuna WATU walifanikiwa kujua but walizibwa midomo Na wengine waliuliwa
Wanaosoma kama gazeti....hapo wanatoka kapaNaomba niwe msomaji tu. Kwa kweli kama kuna kitu huwa kinanichanganya ni biblia. Maana mambo yaliyoandikwa humo kwa akili ya kawaida ni ngumu kuelewa.
Mada nzuri shukrani zitto junior
Mbona Yesu alizaliwa bila mwanaume kulala na Maria??? Ina maana Roho mtakatifu alikuwa na jinsia hadi apandikize mtoto kwenye kizazi cha maria??Nilikua nataka nisome hadi mwisho lkn umenimaliza poz yani malaika kazaa na mwanadam?? Hii haiko sawa jaman sisi tunaambiwa malaika hanaga jinsia ngoja tu niishie hapa.
Wana wa Mungu ni kile kizazi che Sethi na wana wa wanadamu ni kizazi cha Kaini.Mkuu wana wa Mungu si anamaanisha hao Malaika walioshuka kuja kulala na hao wanawake mkuu
Okay nashkuru kwa mchango wako mkuu ila tukijiuliza je wanefili walirudije mkuu baada ya gharika?? Maana Musa anasema wazi kuwa mfalme Ogu ndio mrefai aliebaki sasa alitoka wapi kama walikufa kwenye gharika?? Embu nipe somo hapoMwanzo 7:21 Wakafa wote wenye mwili waendao juu ya nchi, na ndege, na wanyama wa kufugwa, na kila mnyama wa mwitu, na kila kitambaacho chenye kutambaa juu ya nchi, na kila mwanadamu;
mkuu source nyingine sawa, ila bibilia hapana. Vilikufa vyote. labda kama swntensi hiyo niliyoiquote ilimaanisha nini.
pamoja mkuu. ngoja nitafiti kidogo nitapita kutoa maoni.Okay nashkuru kwa mchango wako mkuu ila tukijiuliza je wanefili walirudije mkuu baada ya gharika?? Maana Musa anasema wazi kuwa mfalme Ogu ndio mrefai aliebaki sasa alitoka wapi kama walikufa kwenye gharika?? Embu nipe somo hapo
Pia aruba anaki amori amoni hawa wote walikuwa uzao wa wanefili je walitoka wapi au ndio wana wa Mungu walizaa tena na wana wa adamu baada ya gharika???
Nakushauri ukasome tena mkuu kwa maana tunaambiwa malaika ambao walimtembelea Ibrahim walienda tu kwa umbile la mwanadam na waliondoka wakaelekea katika kijiji cha sadum kwa lut na walivyofika walikaribishwa na lut hakujua kama hao wageni wake ni malaika kutoka mbinguni wakakaa na wakatengewa chakula wakakaribishwa kula na walikataa na hapo ndipo walimwambia lut kwamba sisi ni malaika kutoka mbinguni tumetumwa kwako ili kukuokoa hivyo unatakiwa ujiandae ucku huu pamoja na watu wako muondoke zenu katika kijiji hiki cz tunataka kukiangamiza. Hakuna hata sehem moja ya andiko inayosema malaika kazaa na mwanadam acheni kupotosha watu bhana.Mbona Yesu alizaliwa bila mwanaume kulala na Maria??? Ina maana Roho mtakatifu alikuwa na jinsia hadi apandikize mtoto kwenye kizazi cha maria??
Kama hoja ni sex Majini wanaolala na wanawake wanawezaje?? Hata kma wakiwa ndotoni ila huwa wanaamka asbuhi na kukuta wametumika!!
Kwa ufahamu wangu malaika hawana jinsia ni wakiwa katika mfumo wa kiroho ila wakija hapa duniani huwa lazima wavae mwili ukisoma biblia utaona malaika waliomtembelea Abraham walikuwa wanaonekana ni wanaume!!! Hata waliomtembelea Lutu walionekana ni wanaume na walikula walilala walioga walicheka n.k kma walifanya yote hayo kwanni huamini wanaweza pia kumlala mwanamke/mwanaume???
Tuanzie hapo
Okay mkuu lakini unachotakiwa kujua ni kwamba kama maji yalifika juu ya mlima kwa mikono 15 na huyu jamaa ni mara mbili ya hizo ina maana mpaka mwaka unaisha angeweza kuishi juu ya milima na chakula angeweza kula mizoga ya wanyama ama samaki pia waliofurumushwa na mafuriko kutoka bahariniKitu ninachokijua kwa sehemu ndogo tu kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba, Mungu akitaka kufanya jambo lake hashindwi kulifanya, huyo mnefili aliyesalia kwa kufikiri fikiri tu yaweza kuwa alikuwa mimba wakati wa gharika labda.
Kinyume na hapo yaliyobakia yote ni vigumu kukubaliana nayo kwa sababu tangu mvua kunyesha mpaka maji kuanza angalau kupungua ni zaidi ya mwaka! Sasa huyo ni kiumbe gani mwenye mwili ambaye hali wala kunywa kwa mwaka mzima kwenye dharuba nzito namna hiyo?!!!
DuhOkay mkuu lakini unachotakiwa kujua ni kwamba kama maji yalifika juu ya mlima kwa mikono 15 na huyu jamaa ni mara mbili ya hizo ina maana mpaka mwaka unaisha angeweza kuishi juu ya milima na chakula angeweza kula mizoga ya wanyama ama samaki pia waliofurumushwa na mafuriko kutoka baharini
Kuna kitabu nmesoma ambayo ni true story ya wanajeshi wa marekani walifurumushwa na mabomu ya wajapani na ndege zao kuanguka pacific
Wale jamaa walikuwa 4 walisurvive kwenye BOYA kwa miezi miwili..... Ndio miezi miwili na hawakuwa na chakula ivo walikuwa wanabahatisha samaki wanaoelea juu wanakula wabichi na sometimes kulala njaa ila walimaliza miezi miwili ndio sembuse LIJIMTU kma MFALME OGU ambalo linaweza kamata nyangumi kwa kiganja???
Hakuna anayewafananisha tunatoa tu hoja kwamba kwakuwa wote ni ROHO basi kuna characters watashabihiana tofauti kabisa na mwanadamu ambaye ni mwili tuHalafu msipende kuwafananisha malaika na majini jaman ni viumbe wawili tofauti kabisa jaman majini ni kama sisi tu wanadam baadhi ya sifa zao na zetu zinafanana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani haya yanawezekana maana hata toothpick walizokuwa wanatumie enzi hizo ni kubwa sana kwa sasa unaweza kuzifananisha na nguzo ya umeme.
Kweli mkuu! Na kitu hicho ni "UKWELI"Kwenye hii dunia kuna kitu kimoja ambacho binadamu tumefichwa. Na sijui ni kitu gani....
assumption kuwa jamaa alikuwepo:Okay mkuu lakini unachotakiwa kujua ni kwamba kama maji yalifika juu ya mlima kwa mikono 15 na huyu jamaa ni mara mbili ya hizo ina maana mpaka mwaka unaisha angeweza kuishi juu ya milima na chakula angeweza kula mizoga ya wanyama ama samaki pia waliofurumushwa na mafuriko kutoka baharini
Kuna kitabu nmesoma ambayo ni true story ya wanajeshi wa marekani walifurumushwa na mabomu ya wajapani na ndege zao kuanguka pacific
Wale jamaa walikuwa 4 walisurvive kwenye BOYA kwa miezi miwili..... Ndio miezi miwili na hawakuwa na chakula ivo walikuwa wanabahatisha samaki wanaoelea juu wanakula wabichi na sometimes kulala njaa ila walimaliza miezi miwili ndio sembuse LIJIMTU kma MFALME OGU ambalo linaweza kamata nyangumi kwa kiganja???
Sio chumvi tu.[emoji3] [emoji3]Jamani haya yanawezekana maana hata toothpick walizokuwa wanatumie enzi hizo ni kubwa sana kwa sasa unaweza kuzifananisha na nguzo ya umeme.
hii chimvi imepitiliza!