Mfalme Zumaridi kama umeshindwa kuongoza kanisa, pisha mchungaji mwingine

Tatizo ni mashemasi.
Mbona mfalme le King Zumari(d) yupo vyedi tu?

Ameona waumini badala ya kusali mnapiga mayowe, jeshi la makerubi mnazingua🤣🤣🤣

anaenda kupeleka shuhuda kwa mitume na manabii huko🤣
 
Kabisa limekauka hata maji hakuna tuko gizani hakuna nuru na sadaka tunatoa
Natafuta kanisa lenye upako uyu zumaridi anapendelea wafuasi wa kijani tu
Kama kuna kanisa la upako basi nijiunge nalo nipate neema
 
Zumaridi kila siku yupo safarini.

Kanisani maji ya kuoshana miguu tunayapata kwa ratiba sasa.
 
Aiseee hii ndio maana halisi ya fasihi.
 
Siku hizi mashemasi wanasingizia kila kitu kwamba kimesababishwa na mgogoro wa yale makanisa mawili ya wenzetu kule duniani
 
Mchungaji Yohana.. alikuwa na matatizo yake.. ila mchungaji yohana alikuwa hapend watu wa chini kuumia..

Ila huyu zamaradi mhhhh...
Tulidhani Moses Kulola hakutaka watu tuwe na hela, sasa awamu hii ya Zumaridi hela hakuna na vitu vinapanda bei kiholela, yee wala hajali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…