Mfano wa jengo la Chadema makao makuu

Mjengo mzuri. Nimeukubali. Mjengo umejengwa eneo gani.
Wee jamaa umeambiwa ni picha na ndivyo muonekano tuakavyokuwa,wewe unauliza lilipojengwa dah haya nia yako imetimia jibu litajengwa ilipokuwa Makao makuu ya ccm kwani lile eneo ni letu sote!😀
😀😀
 
Nimekuja mbio Kuona Jengo ...Kumbe jengo ni 'Linalotarajiwa' ...!
Itakua ulikua unakua wa mwisho darasani Kila matokeo ya mitihani.

Mwenye mada kaandika "mfano wa jengo la chadema"
Wewe umekuja mbio kuona jengo.

Kinachowafanya mfeli mitihani ni kutokusoma maelekezo.
 
Kinachokusumbua na kukutia mawazo finyu wakati hakuna siku uliyotoa senti yako ni nin?

Waliochanga hawajalalamika utalalamikaje wewe usiyechanga.

Wacha upimbi.
 
Kwani na wewe siulitafuta mtaji kwanza kabla ya kuanza kuuza Kangala🤸
 
Hii ndio ofisi yenye hadhi ya Chadema
 
Safi sana
 
Hii project imeishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…