Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

Tayari anatuhuma zaidi ya Moja za utapeli Tena katuhumiwa na mhimili mzito sana ambao ni serikali kwaiyo matatizo yako ya kushindwa kutimiza majukumu yako mama wa mtoto yasikufanye kuja kumpampa huyo bwana humu
taratibu mkuu, kuna muda mambo yanakataa, 1 haikai 2 haisimami, ila mwamba anatakiwa kuelewa tu kuwa hata majambazi wanatoa msaada pia. kuna kimada wa pablo escober alisemaga, kuna upande utampenda pablo na kuna upande utamchukia, kwenye mji wake anachukuliwa kama masihi ila upande wa waliokutana na madhila yake wanamuona kama shetani.
 
Sure mkuu
 
Mfano mkataba unasema kodi italipwa kwa mwaka na akasaini.

Yeye anao na mwenye jengo anao.

Kikifika kipindi cha kodi anazusha nini ili asilipe kodi na hapohapo aendelee kupanga?
Si anatengeneza mkataba wa kizushi mwingine

Ova
 
Mkuu ni kweli, tudhiti matapeli na waporaji wa ardhi kwa kufuata utaratibu wa sheria.
Si ndiyo maana Msama tapeli la Aridhi limekabiziwa kwa police ili mchakato wa kisheria uanze!!? Au unazani Police wao hawako kisheria!!?
 
Sema Ruge naye kaibua watu wengi sana waliokuwa hawana mwelekeo wowote... mtu kama B12 na Mchomvu walikuwa vijana tu mtaani wenye elimu ya kuunga ila akawainua.
Ruge alikua na talanta ya kuibuwa vipaji kwa baadhi ya watu wasio viona vipaji vyao!!
 
Si anatengeneza mkataba wa kizushi mwingine

Ova
Msamehe bure, castr hawajui vizuri matapeli wa Aridhi, labda kwa sababu hayajamkuta,au kumkuta mtu wake wa karibu, labda angeelewa somo la utapeli wa kugushi nyaraka unavyo wa tajirisha Matapeli!!
 
Anatoa sana rushwa kwa Majaji wa Rufaa na Mahakama Kuu
Hivi Majaji wa Rufaa na Mahakama Kuu si wanalipwa vizuri tu ili wasipate vishawishi kwenye kusimamia haki!? Mi nitamshangaa sana mtu wa aina hiyo kama kweli bado anapokea rushwa, inamaana hana kinai, tamaa ni kitu kibaya sana!!
 
Msamehe bure, castr hawajui vizuri matapeli wa Aridhi, labda kwa sababu hayajamkuta,au kumkuta mtu wake wa karibu, labda angeelewa somo la utapeli wa kugushi nyaraka unavyo wa tajirisha Matapeli!!
Kweli kabisa, kama hauwajui utaona kama wana singiziwa

Ova
 
Hivi Majaji wa Rufaa na Mahakama Kuu si wanalipwa vizuri tu ili wasipate vista vishawishi kwenye kusimamia haki!? Mi nitamshangaa sana mtu wa aina hiyo kama kweli bado anapokea rushwa, inamaana hana kinai, tamaa ni kitu kibaya sana!!
Ndomana tunaambiwa rushwa ni adui ya haki

Ova
 
Kuchafuana tu. Utapeli uko wapi?
 
Hz kiki tu, scriptures,
 
Jamani wa Tz tumepatwa na nini?

Tuwanataka viongozi wa namna gani?

Waziri wa aridhi ambaye kitaaluma ni mwanasheria, anaweza kuarrest mtu bila kufahamu kanuni za kukamata!

Tangu muda mrefu aanze kumzungusha Waziri, kushindikana kupatikana hadi kutumia njia ya kumuita ofisini, Waziri atakuwa hana supported doc za kum sue kwa tuhuma za utapeli wa viwanja anavyolalamikiwa kutapeli na kudhulumu wananchi?

Mimi napenda viongozi wa aina hii wanaowajibika kufuatilia haki za raia wanyonge dhidi ya matapeli yenye nguvu ya pesa.

Kukamatwa kwa tuhuma flani kuna uhusiano gani na kuonelewa?

Mahakama zipo mtu wako ataenda kujitetea huko.
 
Fair enough mkuu ila ilitakiwa waziri awe na docket,huwezi kumpeleka mtu mahabusu bila ya docket,pia huwezi kumweka suspect more than 48 hrs kabla ya kumpeleka kwa court
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…