Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

Hayo makusanyo ya TRA ambayo chawa wanayaita record ni mwiba mkali kwa wafanyabiashara.

BTW:Siku hizi hakuna akina Said Mwamwindi wa kuwashughulikia hawa maafisa kodi wanaofuata watu majumbani kuwajazia nzi.
 

Na VAT iishie hapo.
 
Serikali itawasikiliza, wewe baki hapo
iwasikilize tu ila serikali ijue inawadekeza watazoea, wengine nao wataanza kuisumbua serikali iwaondolee kero zao. Mchelea mwana hula na wakwao
 
We unafikiri hii changamoto haikuwepo kipindi cha Magufuli?

Utofauti unaofanya uone haikuwepo ni kwamba kile kipindi isingewezekana kufanya mgomo kutokana na udikteta wa Magufuli
Acha uongo. Magufuli alikuwa anafata watu. Kupokea , mabango na kusikiliza shida.

Siyo chief hangaya anapuyanga tu
 
Waziri wa Biashara ajiuzulu alileta siasa kwenye Jambo nyeti. Alitakiwa yeye ndio aende kuonana na wafanya biashara.
 
They are not serious at all.

Imagine wanapinga hadi enforcement za kuhakikisha EFD machines zinatumika ipasavyo kwa mujibu wa sheria.

Kukataa kutoa receipts za mashine maana yake wanataka kufanya udanganyifu wa mauzo yao.?
Ww ni Fala kabisa ukitoa EFd mwak huu mwaka unaokuja lazima ulie na kusaga meno
 
Wewe unalielewa tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…