Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

Nipo live I.T.V hapa kufuatilia hili jambo ila nimeshituka kidogo kuona wanaotoa kero/ushauri wengi ni Wachagga. Kila anayejitambulisha mchagga ndugu zangu Wakinga namwona Vunjabei tu. Sisi Wagogo hatupo ni muda wa kutoka Mpwapwa sana.

aa.png
 
Back
Top Bottom