Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

Hao wafanyabiashara ni wanaa, si wa kuwachekea wala kuwabembeleza hawana hoja za msingi, kodi walipe. Kwanza hawana jeuri ya kufunga maduka yao muda mrefu watakufa njaa, wakome kuitishia serikali
 
Mgomo wa Wafanyabiashara KARIAKOO kudumu Kwa siku tatu Si jambo lililozoeleka nchini.

KATIBA mpya inaandikwa Kwa Wino wa Dhahabu.

Bring back our Rasimu ya Warioba 💪
Katiba ni matatizo yenu wanasiasa wala siyo ya wananchi.......
Wananchi Shida zao huwa wanazisema kama hivi.
Hawajawahi hata fungua hiyo katekisimu sijui katiba.
 
View attachment 2625260
Screenshot_2023-05-14-11-13-53-411_com.instagram.android.jpg
 
Katiba ni matatizo yenu wanasiasa wala siyo ya wananchi.......
Wananchi Shida zao huwa wanazisema kama hivi.
Hawajawahi hata fungua hiyo katekisimu sijui katiba.
Kero zote zilizotolewa na wafanyabiashara KARIAKOO ni za kimfumo, ni za kikatiba.

Get back to school.

Bring back our Rasimu ya Warioba 💪
 
Back
Top Bottom