Hiyo ni nia kamili ya kuhakikisha hanusuriki! RIPNdiyo huyo jamaa, nikweli amefariki kwa kupigwa risasi 8 kwa mujibu wa jamaa aliyeko karibu na eneo la tukio. Na inasemekana hawajachukua kitu chochote kwenye gari lake.
Lema Polisi?Tafakari unapotumwa!Sio iwe umeingiza siku!Lema zuia mauaji Arusha.
Hii sio breaking news. Jizoeze tabia ya kupitia post za wenzio kabla hujaja na ya kwako. Habari ipo tangu mida ya lunch hiiBreaking newssssss
Watu wa Arusha kuna taita wa madini kapigwa risasi jioni hii, taita huyo akiitwa Msuya, kapigwa na wabaya wake baada ya kuingia mtego wa kumwita boma area wafanye biashara akaenda mbio sehemu hiyo akitoka KIA. Nyie wenzetu wa Arusha tuelesheni zaidi.
Ndiyo mambo ya kukurupuka tu kuanzisa uzi tena kwa habari mpasuko.umechelewa kuripoti mkuu wangu,watu wamekuwahi kitambo,labda ungekuja na sababu za kushutiwa
Hao wengine mnawalalamikia kila siku humu ni polisi?Lema Polisi?Tafakari unapotumwa!Sio iwe umeingiza siku!
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema ampumzishe kwa Amani. Amina!
Funguka shemeji yangu maana JF napenda kwa kupata vitu mang'anyusio tetesi tena, ni kweli Erasto hatunaye, sitaki hata kuamini kabisa kabisa, walikuwa na ugomvi mkali na "chusa" natamani kutiririka ila basi tu, duh duh
Bado naangalia hii 2013 range rover model nahisi inamilikiwa na watu wawili Tz nzima au?
hebu jipange vizuri utupe habari kamili.
tait ndio nini?
huyo mtu ana hadhi gani huko Arush hadi apewe hadhi JF
Mabilionea wa kanda ya kaskazini wanapukutika daily aisee. Nakumbuka hata Bishanga alipokuja hapa Arusha alifikia pale kwenye lodge yake SG Resort. Pia ndiye mweny Mezzaluna Hotel.
Hao wengine mnawalalamikia kila siku humu ni polisi?
Lema pamoja na wabunge wa Chadema wanatakiwa wajiudhulu haiwezekani kila siku matukio ya kuuliwa raia yanaongezeka.
Daanh wivu kitu kibaya sana,unamuonea wivu marehemu!!!!
Hao wengine mnawalalamikia kila siku humu ni polisi?
Lema pamoja na wabunge wa Chadema wanatakiwa wajiudhulu haiwezekani kila siku matukio ya kuuliwa raia yanaongezeka.