Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

maisha ya binadamu ni mafupi.....mungu alituumba kwa mfano wake,leo tunauwana sisi kwa tamaa za dunia......R.I.P Erasto
 

Ona sasa ulivyo mi nilikuwa kwenye maana ya kimantiki wewe unarudi kule kule kuanza kutaja watu.. Bilionea ni nani? ni vigezo gani vinafanya mtu aitwe bilionea? Tukianzia hapo tukawa na mutual understanding ndio na mimi ntasema kwa nini namuona Erasto ni bilionea... sasa wewe hujib swali unaanza mara Dangote sijui mboyoyo gani! Lengo ni kuelimishana sio ligi, toa maana tujue nani yuko sahihi acha mboyoyo mingi
 


Mkuu ficha upumbav.u wako
 

Strange mtu kuwa billionaire imekuwa kitu cha ajabu sana..... napenda kuamini kuwa shida yako kubwa ni kuwa na akili za kushikiwa....assessment yako ya billionaire imekuwa subjective ndio maana hutakaa uwaelewe wanaosema kuwa marehemu alikuwa billionaire. Ungejua maana ya bilionea usingekuwa subjective kwa kutaja majina ya watu unaowafahamu wewe. Rejea vitabu kwanza ndio urudi jukwaani ukiwa informed. Ukiwa na financial resources worth billions your are billionaire period. Elewa hizo reference zako za kina Dakote unazungumzia madaraja tu na uenda ukawa unarefer watu wenye trillions.
 

tena unanipandisha thamani....sina hata corolla....naishi chini ya dollar 1 kwa siku....imekuuma post yangu sana pole...btw mwisho nimesema huyo NI BILLIONAIRE wa TSHS......he ISNT A BILLIONAIRE IN INTERNATIONAL STANDARDS and hhio ni hotel kubwa Arusha IT ISNT BIG HOTEL IN INTERNATIONAL STANDARD
 
RIP Erasto Msuya, lakini hii hali ya Arusha ndivyo mnavoilea, survival of th red fittest, polisi hawahitajiki Arusha maana kuna piiipoz!
 

Hiyo concept imeniacha hoi. Kwa maana hiyo zaidi ya asilimia 50% ya Wazimbabwe ni ma-bilionea.....Idadi kubwa kabisa ya mabilionea Duniani!!! Na kwa maana hiyo ndiyo Nchi yenye watu wenye kipato kikubwa zaidi Duniani!!

Kila Nchi inakuwa na mabilionea wake kulingana na aina ya fedha yao, ama kuna standard fulani inayofuatwa?
 
Hao wengine mnawalalamikia kila siku humu ni polisi?

Lema pamoja na wabunge wa Chadema wanatakiwa wajiudhulu haiwezekani kila siku matukio ya kuuliwa raia yanaongezeka.
Mkuu hao ni part of the Arusha "system", ni zao lao hao.
 
Mkuu ficha upumbav.u wako

A Billionaire is a person with a net worth of at least one billion (1,000,000,000) units of a given currency... hii ni definition nimeitoa Wikipedia
Turudi kwenye issue in question Je? Erasto alikuwa ana net worth ya bilioni moja? katika shilingi za kitanzania? Naomba Tuanzie hapo, sio uanze tena habari za comparison na kina Dakote. je kwa definition hyo toka Wikipedia Erasto alikuwa bilionea?
 

Kwa maana hiyo kila mwananchi wa Zimbabwe ni Billionaire?
Fikiria mkate unauzwa milioni 50
 
Mkuu ficha upumbav.u wako

Tatizo letu Watanzania tunapenda kubishana zaidi kuliko kuelimishana. Kama mdau mmoja alivyoshauri, mtu anayefahamu ili mtu aitwe billion inabidi awe anamiliki kiasi cha pesaau assets za billion ngapi, tuachene na haya mambo ya sijui hajaandikwa kwenye jarida fulani.
 

Pesa ipo kwenye mawe (madini). Unafahamu bei ya Tanzanite?

Halafu kufahamika kwa mtu kuwa anapesa inategemeana na biashara anayoifanya.

Kama bakharesa anauza vifaa vya vyakula vya majumbani,kuna sababu gani hata wauza vitumbua wasimfahamu?

Madini ni biashara ya watu wachache,wenye mitaji mikubwa. Kwanza kumiliki mgodi ni jambo kubwa,ni uwekezaji wa pesa nyingi,halafu wengi wao hawayalipii kodi madini wanayoyauza,kwaiyo kudharau alichonacho ni rahisi,mana hatambuliki anafanya vipi biashara.
 


bilionea kwa mantiki toka Wikipedia ni yoyote mwenye net worth ya bilion moja kulingana na units of given currency huko aliko si lazima bilionea ihesabiwe kwa us$
 
bilionea kwa mantiki toka Wikipedia ni yoyote mwenye net worth ya bilion moja kulingana na units of given currency huko aliko si lazima bilionea ihesabiwe kwa us$

Kwa maana hiyo wazimbabwe wote ni mabilionea?
 
Mnanishangaza mlivyo busy kujadili dhana ya ubilionea wa tu ilhali hakuna jitihada zenu za nyi kuutafuta huo ubilionea na nyi walau muwepo kundini.


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Ungekuwa unataka kuelimishwa usingekuwa mbishi kama umemwagiwa mayonaise ya kiume, we fact yako ya kumuita billionair ni nini? Kisa ana shimo na resort au?

Ukiniambia ana bilioni za tsh au zimbabwe nitakubali.
 
jamani tuache kubishana bilionea au la,mi naomba kujua alitekwaje? Na aliuliwa ndani ya gari au nje ya gari? Na ninavyojua mimi pale majengo sio mbali na sehemu polisi wanpokaa sasa mpaka risasi 8 znapgwa walikua wapi? Je majambazi walikua na usafiri gani,na mwisho kauawa na bastola au bunduki kubwa? Mwenye kujua hz taarifa atuambie.RIP ERASTO,yule mkeo hana uwezo wa kuendesha miradi na yule mwanao kelvin ndo kwanza anamiaka 15
 

Labda kwa hela za madafu ndo umuite billionaire.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…