Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

Bilionea my foot ! kama anajulikana na wewe na mkeo, ni huko Arusha. tunakerwa na uposhaji wenu wa kisifa za kijinga jinga !
bilionea kwa vigezo hivyo, basi hata waingiza nguo za china hapo Kariakoo hapo Dar, nao ni mabilionea !

Pika hata vitumbua, ukifikisha pesa taslim 2bn wewe ni bilionea.
Haijalishi umepataje pesa hizo, upotoshaji uko wapi hapa?! Tatizo mnakuja na hoja nyepesi, si kila Bil ni lazima amfikie Gates kwa mabilion, hata vidole havilingani lakini vyote ni vidole.
Ukimiliki bilioni zaidi ya moja wewe ni Bilionea, acheni ligi na wivu wakimaendeJANA!!
 
Lazima aliyempigia simu anamjua hivyo record za simu zitaonyesha tu. Tatizo polisi wetu sasa!
 
nani kakuuliza? hapa ni msibani kuwa na adabu!
 
Huyu jamaa alikuwa tajiri sana kwwenye jiji la Arusha alikuwa wa pili kama sio wa tatu alikuwa na hotel kubwa nyuma ya triple A alikuwa na vogue evogue. Alikuwa na ndege binafsi
 
...arusha nako, dah ...! Ukicheza wanakumwaga utumbo tu,huku mwanakwerekwe ni tindikali ndo sana. Naingoja tanganyika nihamie arusha kwenye utalii kama huku...
 
Bilionea kumiliki hotel alikuwa akilipa kodi? Ana viwanda vinavyozalisha vingapi? Pato lake kwa mwaka ni sh ngapi? Au usd ngapi mabilionea wa arusha bwana aaaa
 
Huyu jamaa alikuwa tajiri sana kwwenye jiji la Arusha alikuwa wa pili kama sio wa tatu alikuwa na hotel kubwa nyuma ya triple A alikuwa na vogue evogue. Alikuwa na ndege binafsi


Kaka una data za kutosha ku justify hiyo sentensi ? kuna wahindi wengi tu ni mabiionea arusha achilia mbali wazawa wanaomiliki migodi na biashara kubwa kubwa, huyu bwana aieuwawa hata kama ni tajiri akini sio kama unavyomkweza RIP msuya
 
Kila mtu Arusha ni bilionea. Wasichotuambia ni bilioni wanazomiliki wamezitafuta vipi. Hela za tamaa zina gharama zake. Ni kama sinema vile haya yanayoendelea....
 
nani kakuuliza? hapa ni msibani kuwa na adabu!

Kwani nimekujibu wewe,? kwanza Mkuu jinsia yako sio ya kudandia vitu kwa mbele utakuja kudandia vitu vigumu vyenye nyama, mwambie huyo dada kwanza awe na adabu awe na majibu ya staha na mimi ntamjibu vizuri tu.
 
Huyu jamaa alikuwa tajiri sana kwwenye jiji la Arusha alikuwa wa pili kama sio wa tatu alikuwa na hotel kubwa nyuma ya triple A alikuwa na vogue evogue. Alikuwa na ndege binafsi

Tutajie "MABILIONEA" wengine wa Jiji la Arusha ili iwasaidie TRA kuweza kuwatambua!
 
TRA wangehamishia nguvu za ukusanyaji wa kodi Arusha nina uhakika hela za umeme vijijini zingepatikana bila kutoza walalahoi wa mbamba-bay kodi ya simkad
cc. EMT
 
Last edited by a moderator:
Tutajie "MABILIONEA" wengine wa Jiji la Arusha ili iwasaidie TRA kuweza kuwatambua!

E.lowassa!
Anamiliki hadi chama cha siasa!
Cc. Nape!

Usiniambie ni mwizi maana mabilionea wengi bongo nao ni wezi tu!
 
TRA wangehamishia nguvu za ukusanyaji wa kodi Arusha nina uhakika hela za umeme vijijini zingepatikana bila kutoza walalahoi wa mbamba-bay kodi ya simkad
cc. EMT

Hujakosea maana huko ndio kuna hela za kutosha ....
 
Huyu jamaa alikuwa tajiri sana kwwenye jiji la Arusha alikuwa wa pili kama sio wa tatu alikuwa na hotel kubwa nyuma ya triple A alikuwa na vogue evogue. Alikuwa na ndege binafsi



.............., nikikumbuka ile ndege ya bilionea bob, lol! kweli Arusha mji wa mabilionea na hasa ukishaweza kuwa na uwezo wa kugawa ofa ya bia na nyama choma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…