Huyu jamaa alikuwa tajiri sana kwwenye jiji la Arusha alikuwa wa pili kama sio wa tatu alikuwa na hotel kubwa nyuma ya triple A alikuwa na vogue evogue. Alikuwa na ndege binafsi
.............., nikikumbuka ile ndege ya bilionea bob, lol! kweli Arusha mji wa mabilionea na hasa ukishaweza kuwa na uwezo wa kugawa ofa ya bia na nyama choma
sio arusha tu, hiyo ni kila mahali ipo, pesa mwanaharamu, lakini kwa hili sio mke wa mtu wala nini, watu wa mererani kwa wanawake wanajulikana hatukatai lakini kwa Erasto hapana, sio kwamba na yeye alikuwa hana wanawake alikuwa nao lakini kwa hili la leo picha ni huyo mnyakyusa!
Nchi hii ina uwezekano wa kukusanya mapato mengi kama serikali itaamua tatizo ni pale wanasiasa wanapounda urafiki na wafanyabiashara wakubwa kwa kuwa nao karibu pindi wanapotaka michango mbalimbali ya maendeleo na mingine ya kawaida ambayo kimsingi kwa serikali makini haikutakiwa kuwafuata raia kuomba support. Kwa kuwa hawa jamaa nao wanataka sifa na kuonekana pia fursa nzuri kwao ya kuwa karibu na wananchi wanajitahidi kwa hali na mali kutoa ili mwisho wa siku wakiwa na shida tena zile za kuvunja kanuni wanakuwa wanafuata hawa viongozi wetu na kupindisha kidogo, alikuwa alipe milion 600 atalipa milioni 90 na kuwapa tip kidogo hao wadau wake.TRA wangehamishia nguvu za ukusanyaji wa kodi Arusha nina uhakika hela za umeme vijijini zingepatikana bila kutoza walalahoi wa mbamba-bay kodi ya simkad
cc. EMT
Tumechoka na hawa mabilionea wa Arush
a. Mtu anamiliki guest house, bajaj, bodaboda, na Vitz utasikia naye ni bilionea. Aaaaaaagh it sucks
Arusha kwa promo mpo juu hawa mabilionea wenu hawa mnawapaisha sana.
Huyu jamaa alikuwa tajiri sana kwwenye jiji la Arusha alikuwa wa pili kama sio wa tatu alikuwa na hotel kubwa nyuma ya triple A alikuwa na vogue evogue. Alikuwa na ndege binafsi
E.lowassa!
Anamiliki hadi chama cha siasa!
Cc. Nape!
Usiniambie ni mwizi maana mabilionea wengi bongo nao ni wezi tu!
Hii kali!
Chama gani hicho tena?
Tumezoea Arusha ukimiliki gesti haus ni bilionea
kwa nini tajiri huyu apigwe risasi 13?
Huyu jamaa alikuwa tajiri sana kwwenye jiji la Arusha alikuwa wa pili kama sio wa tatu alikuwa na hotel kubwa nyuma ya triple A alikuwa na vogue evogue. Alikuwa na ndege binafsi
Pika hata vitumbua, ukifikisha pesa taslim 2bn wewe ni bilionea.
Haijalishi umepataje pesa hizo, upotoshaji uko wapi hapa?! Tatizo mnakuja na hoja nyepesi, si kila Bil ni lazima amfikie Gates kwa mabilion, hata vidole havilingani lakini vyote ni vidole.
Ukimiliki bilioni zaidi ya moja wewe ni Bilionea, acheni ligi na wivu wakimaendeJANA!!