Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

Hapo damu yake itadai hadi kizazi cha nne, ole wao waliohusika na kifo chake
 

Na huku kwetu hio hotel nilivyoiona tunaziita BB- Bed & Breakfast....Arusha kweli kijiji na kingine watu wenyewe hawana exposure ya kwenda nje kidogo tu...Yaani huyo si billionear wala nn alikuwa ni mtu wa kawaida tu mwenye investments zake...Billionaire hana hata bodyguard anaenda mwenyewe front???...mabillionaire wana mabody guards wao ambao ni ex SAS,ex KGB,Ex FBI...marksmen....poleni AR kwa msiba....
 
llionaire
Mkuu ww ndo huelewi..billionaire hawezi kuwa hivyo kwa pesa local..kuna mtu kakupa mfano hapo Zimbabwe itakua na mabilionaire wangapi ikiwa hivyo???hata hao unaosikia mabillionaires kwenye nchi zingine ni pesa yao inapelekwa kwenye dollars au pound ndo wanakuwa hivyo....nyie watu wa Arusha vichekesho sana teembeeni kidogo muoshe macho..hotel gani hio ya kumfanya mtu awe billionaire..hio ni Bed and Breakfast tu...halafu mnacount evoque au vogue ??hayo ni magari ya kawaida tu unayakuta yard..mabillionaire magari yao mengi ni special production....wanatoa special order!!!ingekuwa billionaires wanaangaliwa kwa local currencies basi huko Uarabuni kungekuwa na mabillionnaires more than a million..kuna watu huko wanamiliki visima vya mafuta na hawako kokote kwenye ubillionaires...fungukeni kidogo vijana wa arusha!!!
 


Mkuu hivi hii Bed & breakfast ni four star hotel?
 
 
watu wengine wehu mh yaani pesa atafute yeye, majina muite nyie, ubishi mbishane nyie??? Kweli majangaaa yaan had mapovu yanawatoka duuhh
 
Duh.....Ngoja mie nijipange kwenda kuzika JUMANNE kule Mererani ..Ubishi wa ubilionea una wenyewe...
 
kwakweli amekufa kifo kibaya sana. kupigwa risasi si kitu ila ile shock ya kijua kwamba sasa roho yangu itatolewa na hakuna msaada wa karibu popote, dah! Tatizo la watu wenye hela wanaongozwa na kiburi cha hela na matoeko yake hawa-sense vitu ambavyo sometime viko very open. ukitaka kufuata instinct au intimacy zako ondoa kiburi cha pesa katika akili zako. kwamba ukiwa na hela unaweza fanya chochote, sasa unaona hela zake zimeshindwa kuokoa roho yake - kitu cha thamani kuliko chochote kile mwanadamu alichopewa na BWANA
 
Arusha washamba sana na hua wanapenda kujikweza wakizani wote ni maboya, hakuna Billioneir anaekufa kizembe kama mabillioneir wao

 

Mental slavery at its worst! local curency ni relative....unaita hela ya uarabuni local, TZ local Zm local... mkuu kwani unaishi wapi ... Reading au Alabama, Zim au TZ? Ladba niulize lipi linakupendeza zaidi kusema una TZS 1,600,000/= au US dollar 100 au Euro 75?
 
Of course pesa ya uarabuni ni local...kwani hujui??huwezi kwenda nayo nje ya huko ukanunua kitu...unaweza ukarushiwa usoni teehteeh...soma profile yangu ndo utajua niko wapi eeehhh..billlionaire my a*&^^&*.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…