SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Of course pesa ya uarabuni ni local...kwani hujui??huwezi kwenda nayo nje ya huko ukanunua kitu...unaweza ukarushiwa usoni teehteeh...soma profile yangu ndo utajua niko wapi eeehhh..billlionaire my a*&^^&*.
arusha wanachekesha kweli...yaani mtu ana range rover tatu na kahoteli kake nae BILLIONAIRE....sasa kariakoo kumejaa magorofa ya watu ambao hata mjini hapa hawajulikani,huko sinza hivyo vihoteli mbuzi vimejaa kibao na wamiliki hata haawajulikani ila wangekuwa arusha kila mtu angewajua MABILLIONAIRE HAWA....lakini NN lazima uelewe hawa ni billionaires wa TSHS......so haki yao kuwaita mabilionea
sio arusha tu, hiyo ni kila mahali ipo, pesa mwanaharamu, lakini kwa hili sio mke wa mtu wala nini, watu wa mererani kwa wanawake wanajulikana hatukatai lakini kwa Erasto hapana, sio kwamba na yeye alikuwa hana wanawake alikuwa nao lakini kwa hili la leo picha ni huyo mnyakyusa!
mijitu ni mishamba na ina wivu wa kijinga kabisa,sasa unachobisha ni nini? mmeshaambiwa ni billionaire mnabisha nini sasa..
mnajua how much inacost ujenzi wa hoteli hizo mnazoziita hoteli uchwara?
mnajua inacost kiasi gani kuweka furniture the whole hotel na hatimae kuendesha?
manyan'gau kabisa nyie,kwa taarifa yenu hamjaambiwa ni billionea wa dola,billionea ni billionea tu hata kama ni wa kwacha au zimbabwean dola!!
rest in peace bro
Absolutely true!!!"When It's All Been Said And Done"
When it's all been said and done
There is just one thing that matters
Did I do my best to live for truth?
Did I live my life for you?
When it's all been said and done
All my treasures will mean nothing
Only what I have done
For love's rewards
Will stand the test of time
Lord, your mercy is so great
That you look beyond our weakness
That you found purest gold in miry clay
Turning sinners into saints
I will always sing your praise
Here on earth and in heaven after
For you've joined me at my true home
When it's all been said and done
You're my life when life is gone...
Hivyo vita alivyopigana na imani aliyoilinda sijaelewa. Pia sijajua hilo taji wana uhakika gani amewekewa kwa sababu anayetoa mataji ni Mungu. Sitaki kuhukumu lakini pia sipendi maneno ya Mungu yakitumiwa kwa maslahi binafsi hata kama haya fit
Yego da jina lako la ukwel hasa katka lugha ye2