Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!


yooote haya hayana tija hapa,back tu the topic
 
Most of people wanaomiliki migodi ni billionaires Cuz Tanzanite is a bag of money... R.i.p Erasto
 
Tukubali uhalifu umewashinda Polisi.
Wabunge simameni pamoja juu ya uhalifu wa kutumia silaha.
Huku mtaani hata elfu hamsini wanakuijia na bunduki!!!
 
Breaking newssssss

Watu wa Arusha kuna taita wa madini kapigwa risasi jioni hii, taita huyo akiitwa Msuya, kapigwa na wabaya wake baada ya kuingia mtego wa kumwita boma area wafanye biashara akaenda mbio sehemu hiyo akitoka KIA. Nyie wenzetu wa Arusha tuelesheni zaidi.
 

Nilichogundua haraka haraka watoto wa Arusha ukiwanunulia nyama choma na bia kesho wanakutangaza bilionea...

Alafu wanaushirikiano we ona walivyojaza hii thread huyo Babu Sembeke mwenyewe wanamuita bilionea kumbe anandege ya kuwindia ikatua juu ya mti...

Wapunguze kujikweza!
 
Tukubali uhalifu umewashinda Polisi.
Wabunge simameni pamoja juu ya uhalifu wa kutumia silaha.
Huku mtaani hata elfu hamsini wanakuijia na bunduki!!!
Hawaoni kama suala hili linawahusu kwa sasa, ngoja mpaka watakapoanza kuuawa ma wao ndio watakapoona umuhimu wa kudhibiti hali hii
 
2013 range rover autobiography bado watu wanakataa huyo sio mtu na uwezo wake!!!

Mwaka unakatika huu braza we bado unaota mtu kuwa na Range ya 2013 mwezi wa nane huu?

Zimejaa mjini na watu wanazisukuma na hawaitwi mabilionea ije iwe Erasto!

Watoto wa Arusha embu tembeeni mjifunze maisha Arusha inawadumaza!

R.I.P "bilionea" Erasto.
 

umechelewa kuripoti mkuu wangu,watu wamekuwahi kitambo,labda ungekuja na sababu za kushutiwa
 
Nenda habari na hoja mchanganyiko utakuta habari hii toka mchana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…