Mfanyabiashara Simon Mbowe (52) afia gesti akiwa na binti wa miaka 27 Songea

52 bado tu kuruka ruka na malaya? 52 ilitakiwa awe kwa "mama yoyoo" wake nyumbani na si vichangu gesti.

Sasa binti wa 27 na yeye 52 mishipa ishajaa cholesterol lazima atumie vitu vya kupump damu na ndiyo matokeo yake lazima ufie kifuani ,amenikumbusha yule mzee wa miaka 80 aliyeariki naye kifuani Goba kwa Ndambi.
 
Ni kweli ni Bora upige zako low performance kwa uwezo wako binafsi kuliko kuipambania ๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ