Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Asante, na huo ndio uchambuzi makini toka kwa mtu ambaye fikra yake iko huru.Mkuu
Ni kwel,labda naona hoja yangu imekuwa ya mjumuisho zaid lakin nilichokuwa naanisha si wote wanaoenda hawafanikiwi,
Ila kuna baadhi wanafanikiwa na pia kina nafasi za kazi ambazo zina mateso zaid.mfano
Ukipata nafasi kama ya udereva kwa dubai watu wanapata rizik nzur sana kuliko kuwa mfanyakaz wa ndani,pia security.
Hizi ni baadh tu.
Pia kwa upande mwingine,kwa nchi za ulaya napo si zote,naelewa.
Acha fikra mgando kijana, manyanyaso/ukatili huwa haviangalii dini ya mtu.Wewe nae walewale tu....hujui ila unakisia tu...mimi nina ushuhuda kutoka kwa watu mbalimbali waliokuwa huko...tena kheri uwe muislamu ukiwa mkristo ndo utapata ugumu zaidi....najua unawatetea kisa dini moja ila ujue ni ujinga tu unatetea.
Tatizo huelewi wewe...Pointi yangu ya chanzo cha manyanyaso ni ubaguzi wa rangi ipo palepale...Ila ukiendana nao dini itakupunguzia risk... Wazoefu wamenielewa ila wewe wakugoogle huwezi nielewa.Acha fikra mgando kijana, manyanyaso/ukatili huwa haviangalii dini ya mtu.
Chanzo cha manyanyaso ni dharau; kuona kuwa taifa, tabaka au jamii fulani ni duni.
Msingi wa wanaonyanyasa sio dini.
The suspects also seriously injured his wife..Halafu huyu hapa mfanyakazi wa nyumbani, aliyeuawa na bosi wake msaudi kisha polisi wakamkamata bosi huyo muuaji, je ni mzungu huyo mfanyakazi?
Uwe watumia ubongo kufikiria nje ya boxView attachment 1398934.
Kama hujuibkitu n kheri ukatuliza vidole....Hapo sio Uarabuni mkuu , hapo ni Lebanon , Uarabuni Ni UAE ( Dubai)
Ni vema kujisomea habari za utumwa kwa upana wake.View attachment 1398941
Someni hiki kitabu kinaeleza mengi
Bora mie wa kugoogle ila nakwekea facts mezani.Tatizo huelewi wewe...Pointi yangu ya chanzo cha manyanyaso ni ubaguzi wa rangi ipo palepale...Ila ukiendana nao dini itakupunguzia risk... Wazoefu wamenielewa ila wewe wakugoogle huwezi nielewa.
You are talking out of ignorance ......hujui ubaguzi wa waarabu kwa wa Africa......just shutup, hao wa indonesia wa philipino mshahara wao ni tofouti na wa Africa wakati wanafanya kazi ile ile, wanapokea dhiraham 1200 hadi 2000 kwa mwezi mwa Africa analipwa dhiraham 500 hadi 1000, kwa kazi ile ile ya house maid.Panua maarifa yako na upembuzi wa mambo. Kama muindonesia (ambaye pia ni masikini mwenzetu na kazi yake ilikuwa kufanya kazi za ndani kama hao wabantu unaowazungumzia) aliyenyanyaswa hatua zikachukuliwa itawezekana vipi akosekane mbantu aliyepata haki zake?
Umefatilia kesi zote za wabantu mahakamani ukaona sheria haikuchukua mkondo? Hawakupata haki zao?
Kitu ambacho huzifanya mamlaka za nchi nyingi kutowapatia haki wafanyakazi wa ndani ni dhana ya ubora wa raia wao juu ya watu wengine hasa toka nchi masikini zikiwemo hizo za waafrika, Latin Amerika na nyingine za Asia.
Na huu ni mfano mwingine wa wanandoa nchini Kuwait ambao mamlaka ya Kuwait iliwauawa baada ya wao wanandoa umuua mfanya kazi wa ndani.
Jambo la msingi: usipende kuelezea mambo kwa ujumla pasi na kuwa na data za kutosha.
View attachment 1398915
Mwingine huyo aongelea vitu kiujumla jumla.You are talking out of ignorance ......hujui ubaguzi wa waarabu kwa wa Africa......just shutup, hao wa indonesia wa philipino mshahara wao ni tofouti na wa Africa wakati wanafanya kazi ile ile, wanapokea dhiraham 1200 hadi 2000 kwa mwezi mwa Africa analipwa dhiraham 500 hadi 1000, kwa kazi ile ile ya house maid.
mwa Africa ukienda police kumshitaki boss wako unakamatwa unapelekwa deportation centre bila hata kulipwa stahiki zako au anapigiwa boss wako simu kukuijia na anakupinga mbele ya police paka basi....hasa Saudi arabia Oman UAE tabia ni ile ile.....zote wa Arabi ni wanyama,
Mimi si shauri bint yoyote kuenda hata maisha ya kiwamagumu kivip hapa kwetu ni pazuri ni suala la kubadili mindset yako tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hao wa indonesia wa philipino mshahara wao ni tofouti na wa Africa wakati wanafanya kazi ile ile, wanapokea dhiraham 1200 hadi 2000 kwa mwezi mwa Africa analipwa dhiraham 500 hadi 1000, kwa kazi ile ile ya house maid.
Ukileta ushahidi wa Mwarabu mmoja tu aliyechukuliwa hatua na kesi kutolewa hukumu nipigwe ban ya maisha.
Toa maoni hatua zipi zichukuliwe kukabili hali hiyo,Wafanyakazi 250,000 halafu wawili wanakufa kila wiki na hakuna hatua zozote?
Mi ndio maana siwaonei huruma hata kama wanatendewa visivyo na Israel au USA, wao ni wabaya zaidi
Huko kuna mpunga mrefu, hata tupige kelele vipi watu wataendelea kwenda jaribu bahati zao. Mdada wa kazi alipwa zaidi ya mshahara wa mwalimu mwenye degree Tanzania (aliyesoma zaidi ya miaka 15) halafu utamweleza nini?Toa maoni hatua zipi zichukuliwe kukabili hali hiyo,
value your coment
Riski ni kubwa mno.....Huko kuna mpunga mrefu, hata tupige kelele vipi watu wataendelea kwenda jaribu bahati zao. Mdada wa kazi alipwa zaidi ya mshahara wa mwalimu mwenye degree Tanzania (aliyesoma zaidi ya miaka 15) halafu utamweleza nini?
View attachment 1398941
Someni hiki kitabu kinaeleza mengi