Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
kwani heche alivyo amuru walinzi wake binafsi wamtembezee kipigo cha mbwa koko BINTI Sigrada mligo pale njombe haikua ukatili wa kumdhuru mtu? Je, hali hiyo si ndio inawapa wananchi matumaini kwamba huenda heche na walainzi wake katili ndio walishughulika na kumdhulumu kibao?ANAANDIKA Mh Heche makamu mwenyekiti CHADEMA TAIFA
Huyu kijana Kenani Kehongosi ni Sabaya mwingine.. Huyu ni kijana amedhuru watu wengi sana.
Ameruhusu madaraka yamvae na kwasababu hana uwezo anafikiri kujipendekeza kufanya hujuma kwa wapinzani kunampa sifa kwa boss wake.. namkumbusha tu kwamba power is transient..
Mikutano imeandaliwa kila sehemu anazuia viwanja kwa maagizo yake.. kwa kuwa tulifuata utaratibu tutafanya Jiandae kwa chochote unachofikiri unaweza kufanya.
C&P
Ndege wafananaoHivi,Sabaya na Kihongosi hawakuwahi kufanya kazi/uhalifu kwa ukaribu?
Huyo kijana Kihongosi kutoka Idegenda kule Iringa anawatia najisi nduguze.Ndege wafananao
Gentleman 😊 lecturer wangu hapa umeacha kutumia AKILI.kwani heche alivyo amuru walinzi wake binafsi wamtembezee kipigo cha mbwa koko BINTI Sigrada mligo pale njombe haikua ukatili wa kumdhuru mtu? Je, hali hiyo si ndio inawapa wananchi matumaini kwamba huenda heche na walainzi wake katili ndio walishughulika na kumdhulumu kibao?
muungwana sia anadai kihongosi amedhuru watu?Gentleman 😊 lecturer wangu hapa umeacha kutumia AKILI.
Soma ulicho ANDIKA
Gentleman hivi kwani alishawahi kuwaga na akiliGentleman 😊 lecturer wangu hapa umeacha kutumia AKILI.
Soma ulicho ANDIKA
Gentleman 😊 ni lecturer ana uelewa mkubwa SanaaGentleman hivi kwani alishawahi kuwaga na akili
Kama hivi ndivyo basi na hii ndiyo sababu ya yeye kutokuwa na akiliGentleman 😊 ni lecturer ana uelewa mkubwa Sanaa
Soma MAANDIKO na mada ZAKE za kijamii na kiuchumi ni mdau mzuri
Tatizo linaanza akiwa anaitetea CCM hapo ndipo huwa ana Zima data 😁
Huwezi kupata jibu maana wao ndo wenye haki ya kudhuru ila wao kidhuriwa ni dhambi na uonevu. Ukiwa unakemea uovu shart usiwe muovu piamuungwana sia anadai kihongosi amedhuru watu?
heche alichofanya kwa sigrada mligo ilikua ni kitchen party haikua kudhuru right?
na kwa ukatili ule wa walinzi wa heche,
kweli heche hakuhusika kumdhuru na kumdhulumu kibao?
uko sahihi gentlemanHuwezi kupata jibu maana wao ndo wenye haki ya kudhuru ila wao kidhuriwa ni dhambi na uonevu. Ukiwa unakemea uovu shart usiwe muovu pia
Ogopa wakurya kwenye misimamo na kudai haki ni watu Hatareee sanaaNampenda sana Heche, ni aina ya watu wanaomaanisha kuwa nini maana ya upinzani. He mean what he says and say what he means. Niwe mkwel huyi bwana mpaka kuna muda huwa naogopa misimamo yake, ikifika wakat wa kukinukisha huyu mwamba kwakwel namhofia sana. Kuna kauli moja kaiswma juz Mara mkutanoni, sio poa "TUMEZALIWA MARA MOJA, TUTAKUFA MARA MOJA, BORA TUFE WATOTO WETU WAJE WAFAID MATUNDA YA UTAWALA BORA" halafu akaongea na neno la kikurya sikulielewa. Wananchi wana mizuka balaaaaa.
Nikaona hii sasa noma. Au ndio ile wanasema kama noma na iwe noma