Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Hilo ndio tatizo lakeeKama hivi ndivyo basi na hii ndiyo sababu ya yeye kutokuwa na akili
Hilo ndio tatizo lakeeKama hivi ndivyo basi na hii ndiyo sababu ya yeye kutokuwa na akili
Maaawee!Gentleman 😊 lecturer wangu hapa umeacha kutumia AKILI.
Soma ulicho ANDIKA
Mimi asingenichapa ningekufa nae.Huyo kibaka alitokea UVCCM ndio matunda ya utawala ule dhalimu wa Magufuli na ndio alianzisha kujichukulia sheria mikononi kwa kucharaza bakora watu, adhabu ya kikoloni ikarudishwa rasmi.
Hawa ndio tunawaita " gun for hire" wanatumika kwa kazi za hovyo na watawala , utawala ukibadilika watu wa hivi ndio huwa waanziwa mara record za udhalimu zipo.
View attachment 3334308
Wanaelewa sasaTafadhali kama kuna watu wa kumshauri wamshauri asije akaleta madhara, POLISI na nyie kataeni amri za kipumbavu kuhusu kudhuru watu waasio na hatia.
Kama yeye alihusika kumdhuru Kibao polisi inasubiri nini kumtia korokoroni?kwani heche alivyo amuru walinzi wake binafsi wamtembezee kipigo cha mbwa koko BINTI Sigrada mligo pale njombe haikua ukatili wa kumdhuru mtu? Je, hali hiyo si ndio inawapa wananchi matumaini kwamba huenda heche na walainzi wake katili ndio walishughulika na kumdhulumu kibao?![]()
Heche angekuwa polisi angeua watu sana.kwani heche alivyo amuru walinzi wake binafsi wamtembezee kipigo cha mbwa koko BINTI Sigrada mligo pale njombe haikua ukatili wa kumdhuru mtu? Je, hali hiyo si ndio inawapa wananchi matumaini kwamba huenda heche na walainzi wake katili ndio walishughulika na kumdhulumu kibao?![]()
Hawawezi kataa maagizo mzee, wanaanzia wap kwa mfano?Tafadhali kama kuna watu wa kumshauri wamshauri asije akaleta madhara, POLISI na nyie kataeni amri za kipumbavu kuhusu kudhuru watu waasio na hatia.
uko sahihi gentlemanHeche angekuwa polisi angeua watu sana.

that is the story for other day,Kama yeye alihusika kumdhuru Kibao polisi inasubiri nini kumtia korokoroni?

CCM wanafanya mambo ya kipumbavu snNawasihi sana sana busara itumike, hii biashara ya kupigana mabomuj kila siku ni ya kipumbavu mno, tunawajengea watoto wetu chuki zisizo na maana. KUNA MAISHA baada ya madaraka haya, tusiwekeze kwenye VISASI
Asee ni mambo ya hovyo snCHADEMA hii sio Ile ya kishamba hapa hakuna kuogopana wala kuchekeana
Nchi imegeuka mali ya CCMOgopa wakurya kwenye misimamo na kudai haki ni watu Hatareee sanaa
Umeongea kwa busara sana sana, wacha tuone marturity yakeKenani hawezi kupiga wananchi wake kwenye mkoa wake.mikutano itafanyika kwa amani
Watu hawatishiwi nyau kwa sasaANAANDIKA Mh Heche makamu mwenyekiti CHADEMA TAIFA
Huyu kijana Kenani Kehongosi ni Sabaya mwingine.. Huyu ni kijana amedhuru watu wengi sana.
Ameruhusu madaraka yamvae na kwasababu hana uwezo anafikiri kujipendekeza kufanya hujuma kwa wapinzani kunampa sifa kwa boss wake.. namkumbusha tu kwamba power is transient..
Mikutano imeandaliwa kila sehemu anazuia viwanja kwa maagizo yake.. kwa kuwa tulifuata utaratibu tutafanya Jiandae kwa chochote unachofikiri unaweza kufanya.
C&P
Unafikiri hii ni faida kwa Taifa?Nampenda sana Heche, ni aina ya watu wanaomaanisha kuwa nini maana ya upinzani. He mean what he says and say what he means. Niwe mkwel huyi bwana mpaka kuna muda huwa naogopa misimamo yake, ikifika wakat wa kukinukisha huyu mwamba kwakwel namhofia sana. Kuna kauli moja kaiswma juz Mara mkutanoni, sio poa "TUMEZALIWA MARA MOJA, TUTAKUFA MARA MOJA, BORA TUFE WATOTO WETU WAJE WAFAID MATUNDA YA UTAWALA BORA" halafu akaongea na neno la kikurya sikulielewa. Wananchi wana mizuka balaaaaa.
Nikaona hii sasa noma. Au ndio ile wanasema kama noma na iwe noma