Mfikishieni Kihongosi Ujumbe huu haraka sana - Kutoka kwa Heche

Mfikishieni Kihongosi Ujumbe huu haraka sana - Kutoka kwa Heche

John Heche ni mtata sana toka enzi za John Magufuli. Wanao mfahamu baada ya kuwa makamu mwenyekiti wa CHADEMA bado hawamjui vizuri. John Heche ni mtaalamu mwenye kujenga hoja zenye mashiko, jikumbusheni bunge la 2015 mpaka 2020.

Makamu wa Rais kwa sasa anafahamu fika moto wa John Heche. Alimuandama sana kipindi akiwa Waziri.
Nampenda sana Heche, ni aina ya watu wanaomaanisha kuwa nini maana ya upinzani. He mean what he says and say what he means. Niwe mkwel huyi bwana mpaka kuna muda huwa naogopa misimamo yake, ikifika wakat wa kukinukisha huyu mwamba kwakwel namhofia sana. Kuna kauli moja kaiswma juz Mara mkutanoni, sio poa "TUMEZALIWA MARA MOJA, TUTAKUFA MARA MOJA, BORA TUFE WATOTO WETU WAJE WAFAID MATUNDA YA UTAWALA BORA" halafu akaongea na neno la kikurya sikulielewa. Wananchi wana mizuka balaaaaa.
Nikaona hii sasa noma. Au ndio ile wanasema kama noma na iwe noma
 
muungwana sia anadai kihongosi amedhuru watu?
heche alichofanya kwa sigrada mligo ilikua ni kitchen party haikua kudhuru right?

na kwa ukatili ule wa walinzi wa heche,
kweli heche hakuhusika kumdhuru na kumdhulumu kibao? :NoGodNo:

Another crap retarded brain.
 
Nampenda sana Heche, ni aina ya watu wanaomaanisha kuwa nini maana ya upinzani. He mean what he says and say what he means. Niwe mkwel huyi bwana mpaka kuna muda huwa naogopa misimamo yake, ikifika wakat wa kukinukisha huyu mwamba kwakwel namhofia sana. Kuna kauli moja kaiswma juz Mara mkutanoni, sio poa "TUMEZALIWA MARA MOJA, TUTAKUFA MARA MOJA, BORA TUFE WATOTO WETU WAJE WAFAID MATUNDA YA UTAWALA BORA" halafu akaongea na neno la kikurya sikulielewa. Wananchi wana mizuka balaaaaa.
Nikaona hii sasa noma. Au ndio ile wanasema kama noma na iwe noma
Nyoka yule


Lyatonga and Lipumba Type

Mark my word.
 
Ili iweje??
Usiwe juha kutumia nguvu kwenye ujinga
kwani heche alivyo amuru walinzi wake binafsi wamtembezee kipigo cha mbwa koko BINTI Sigrada mligo pale njombe haikua ukatili wa kumdhuru mtu? Je, hali hiyo si ndio inawapa wananchi matumaini kwamba huenda heche na walainzi wake katili ndio walishughulika na kumdhulumu kibao? :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom