Mfikishieni Kihongosi Ujumbe huu haraka sana - Kutoka kwa Heche

A
kwani heche alivyo amuru walinzi wake binafsi wamtembezee kipigo cha mbwa koko BINTI Sigrada mligo pale njombe haikua ukatili wa kumdhuru mtu? Je, hali hiyo si ndio inawapa wananchi matumaini kwamba huenda heche na walainzi wake katili ndio walishughulika na kumdhulumu kibao? :NoGodNo:
Angepigwa huyo sigara sijui bangi, leo Chadema nusu ya uongozi wangekuwa selo. Huyo dada alijiangusha mwenyewe/alijipiga hakuguswa.
 
ANAANDIKA Mh Heche makamu mwenyekiti CHADEMA TAIFA

Huyu kijana Kenani Kehongosi ni Sabaya mwingine.. Huyu ni kijana amedhuru watu wengi sana.

Ameruhusu madaraka yamvae na kwasababu hana uwezo anafikiri kujipendekeza kufanya hujuma kwa wapinzani kunampa sifa kwa boss wake.. namkumbusha tu kwamba power is transient..

Mikutano imeandaliwa kila sehemu anazuia viwanja kwa maagizo yake.. kwa kuwa tulifuata utaratibu tutafanya Jiandae kwa chochote unachofikiri unaweza kufanya.

C&P
Acha kulialia we bwege, km siasa imewashinda mkalime
 
1747308869818.png
 
A

Angepigwa huyo sigara sijui bangi, leo Chadema nusu ya uongozi wangekuwa selo. Huyo dada alijiangusha mwenyewe/alijipiga hakuguswa.
Danganya watu wambali ndugu mpotoshaji, usifanye mchezo na stress na hasira za mtu aliefilisiwa pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti 🐒
 
Hiki kipindi sikuwepo Tanzania.
Ilikuwaje anamchapa huyo jamaa hapo!!??
Huyo kibaka alitokea UVCCM ndio matunda ya utawala ule dhalimu wa Magufuli na ndio alianzisha kujichukulia sheria mikononi kwa kucharaza bakora watu, adhabu ya kikoloni ikarudishwa rasmi.

Hawa ndio tunawaita " gun for hire" wanatumika kwa kazi za hovyo na watawala , utawala ukibadilika watu wa hivi ndio huwa waanziwa mara record za udhalimu zipo.
View attachment 3334308
 
muungwana sia anadai kihongosi amedhuru watu?
heche alichofanya kwa sigrada mligo ilikua ni kitchen party haikua kudhuru right?

na kwa ukatili ule wa walinzi wa heche,
kweli heche hakuhusika kumdhuru na kumdhulumu kibao? :NoGodNo:
Upuuzi mtupu
 
Hiki kipindi sikuwepo Tanzania.
Ilikuwaje anamchapa huyo jamaa hapo!!??
Baada ya jiwe kujipa ushindi wa kishindo kuanzia Dec 2020 mpaka January 2021 kulikuwa na matukio 5 ya wakuu wa wilaya kucharaza watu bakora.

Alianza huyu kibaka wakafuata wengine na hakuna aliyekuwa tayari kuwakemea , maana mpenda misifa juu kule udikteta ndio ulikuwa umekita mizizi na adhabu kama hizi ni za tawala za kidikteta tu.
 
Shukrani ndugu kwa info.
Hao walimu waliochapwa viboko ni "me" au "ke"!!??
Hao walimu kam ni "me", na hao waliowachapa viboko bado hawajawa hata walemavu, watakuwa sio "me" , wameudogosha uanaume.

Walikuwa wanaume wote hakuna mwanamke aliyecharazwa viboko.

Kwa kumbukumbu zangu ni taasisi moja tu ndio ilithubutu kukemea huu uhuni.

Na waliochapwa viboko hawakuwahi sikika hata wakifungua mashtaka juu ya udhalilishaji waliofanyiwa.

Daaah!
Watumishi hasa walimu ni watumwa kweli kweli!
 
ANAANDIKA Mh Heche makamu mwenyekiti CHADEMA TAIFA

Huyu kijana Kenani Kehongosi ni Sabaya mwingine.. Huyu ni kijana amedhuru watu wengi sana.

Ameruhusu madaraka yamvae na kwasababu hana uwezo anafikiri kujipendekeza kufanya hujuma kwa wapinzani kunampa sifa kwa boss wake.. namkumbusha tu kwamba power is transient..

Mikutano imeandaliwa kila sehemu anazuia viwanja kwa maagizo yake.. kwa kuwa tulifuata utaratibu tutafanya Jiandae kwa chochote unachofikiri unaweza kufanya.

C&P
Sasa hivi hapa Tanzania ukitaka kupata madaraka upesi ikiwa wewe ni polisi au mteule wa rais unatakiwa kuwa mkatili kwa wananchi/wapinzani kadri iwezekanavyo ukishatrend tu unapandishwa cheo
 
Inasikitisha na kufikirisha sana ndugu yangu
 
ANAANDIKA Mh Heche makamu mwenyekiti CHADEMA TAIFA

Huyu kijana Kenani Kehongosi ni Sabaya mwingine.. Huyu ni kijana amedhuru watu wengi sana.

Ameruhusu madaraka yamvae na kwasababu hana uwezo anafikiri kujipendekeza kufanya hujuma kwa wapinzani kunampa sifa kwa boss wake.. namkumbusha tu kwamba power is transient..

Mikutano imeandaliwa kila sehemu anazuia viwanja kwa maagizo yake.. kwa kuwa tulifuata utaratibu tutafanya Jiandae kwa chochote unachofikiri unaweza kufanya.

C&P
Watu hawa (akina kihongosi), wanawekwa kwenye nafasi za uongozi, siyo kwamba wanazo sifa za kuongoza, bali ni kwa sababu ya tabia zao za uovu; wanaotegemewa kuutumia kumlinda aliye waweke kwenye hizo nafasi.

Hili ndilo "Genge la askari wa Samia", waliowekwa kila sehemu kuhakikisha kuwa Samia anaendelea kubaki madarakani kwa gharama yoyote; hata ya kutoa roho za waTanzania.
Ni genge hili ndilo linalotakkiwa kudhibitiwa, kuepusha umwagaji wa damu ya waTanzania.
 
Back
Top Bottom