Mfikishieni Kihongosi Ujumbe huu haraka sana - Kutoka kwa Heche

Huyo kibaka alitokea UVCCM ndio matunda ya utawala ule dhalimu wa Magufuli na ndio alianzisha kujichukulia sheria mikononi kwa kucharaza bakora watu, adhabu ya kikoloni ikarudishwa rasmi.

Hawa ndio tunawaita " gun for hire" wanatumika kwa kazi za hovyo na watawala , utawala ukibadilika watu wa hivi ndio huwa waanziwa mara record za udhalimu zipo.
 
Shida nikwamba viongozi wengi wanakuwa kama Kenge, ameshindwa ata kupata ushauri kwa Lau Masha? alikuwa akiwahujumu Chadema kwasana hasahasa Wenje Nyamagana lakini kwasasa Wenje anayofurahaa zaidi yake.
 
Mimi asingenichapa ningekufa nae.
 
Kama yeye alihusika kumdhuru Kibao polisi inasubiri nini kumtia korokoroni?
 
Heche angekuwa polisi angeua watu sana.
 
Tafadhali kama kuna watu wa kumshauri wamshauri asije akaleta madhara, POLISI na nyie kataeni amri za kipumbavu kuhusu kudhuru watu waasio na hatia.
Hawawezi kataa maagizo mzee, wanaanzia wap kwa mfano?
 
Nawasihi sana sana busara itumike, hii biashara ya kupigana mabomuj kila siku ni ya kipumbavu mno, tunawajengea watoto wetu chuki zisizo na maana. KUNA MAISHA baada ya madaraka haya, tusiwekeze kwenye VISASI
CCM wanafanya mambo ya kipumbavu sn
 
Watu hawatishiwi nyau kwa sasa
 
Unafikiri hii ni faida kwa Taifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…