Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mkuu ,Mimi pale juu si nimesema pole kwa yote na pia nimekuadi wakikupiga tena lazima na Mimi niingilie tuwapige ?Jaribuni tena kunidhalilisha kama mlivyofanya Tunduma mwaka 2015 muone nitakachomfanya mmoja wenu. Wapuuzi wakubwa nyie. Kazi kukalia ubabe wa kijinga tu na vitisho kwa raia pumbavu zenu ili wawape hela muende kunywea beers jioni.
Nendeni Ulaya na Marekani mkajifunze Modern Policing..
Hebu jaribu uone. Just give it a try..Sasa mkuu ,Mimi pale juu si nimesema pole kwa yote na pia nimekuadi wakikupiga tena lazima na Mimi niingilie tuwapige ?
Sasa ukianza kumtukana tena afande wangu hapa nitahama upande wako nihamie kwa afande ili tukudake tukung'ute tena
Dah Kaka kweli una hasira ,Basi bwana ni utani usijeniunganisha kwenye ugomvi bure ,siku uwe zako Tunduma unidake unitwange kumbe nilikuwa natania tu .Hebu jaribu uone. Just give it a try..
Pole mkuu. Mimi sio "njagu" bali ni raia wa kawaida sana. Habari za modern Policing zipo nchi nyingi za Ulaya na ipo kwamba ukifanya kosa ambalo ni la faini papo kwa hapo unalipa na kupewa receipt ya EFD mnamalizana. Hakuna cha Kituoni. Hapa bongo ni maneno meeeeengi, ubishi tele na rushwa vimetamalaki.Jaribuni tena kunidhalilisha kama mlivyofanya Tunduma mwaka 2015 muone nitakachomfanya mmoja wenu. Wapuuzi wakubwa nyie. Kazi kukalia ubabe wa kijinga tu na vitisho kwa raia pumbavu zenu ili wawape hela muende kunywea beers jioni.
Nendeni Ulaya na Marekani mkajifunze Modern Policing..
Welcome to my ignore list..Pole mkuu. Mimi sio "njagu" bali ni raia wa kawaida sana. Habari za modern Policing zipo nchi nyingi za Ulaya na ipo kwamba ukifanya kosa ambalo ni la faini papo kwa hapo unalipa na kupewa receipt ya EFD mnamalizana. Hakuna cha Kituoni. Hapa bongo ni maneno meeeeengi, ubishi tele na rushwa vimetamalaki.
Welcome to my ignore list..Dah Kaka kweli una hasira ,Basi bwana ni utani usijeniunganisha kwenye ugomvi bure ,siku uwe zako Tunduma unidake unitwange kumbe nilikuwa natania tu .
Karibu Black tena ,njoo tupate mvinyo
Kaka umeniponza aisee ,ona rafiki yangu nimetania kidogo akahisi nakutetea wewe ambaye ni Askari kwa mawazo yake ,Sasa kaniweka ignore list ,dah .Pole mkuu. Mimi sio "njagu" bali ni raia wa kawaida sana. Habari za modern Policing zipo nchi nyingi za Ulaya na ipo kwamba ukifanya kosa ambalo ni la faini papo kwa hapo unalipa na kupewa receipt ya EFD mnamalizana. Hakuna cha Kituoni. Hapa bongo ni maneno meeeeengi, ubishi tele na rushwa vimetamalaki.
Sijui tatizo lipo wapi ila polisi wanakandamiza haki za raia kwa kuwaweka ndani bila ya sababu za msingi hata kwa makosa yanayodhaminika na wakati mwingine kwa kesi za madai, kuna tatizo kubwa bado kwenye mfumo wetu wa haki jinai, tunaongeza msongamano wa wafungwa na mahabusu wakati wanatakiwa waende wakazalishe na kujenga nchiPolisi anakukamata huna kosa au kwa kosa la kuhisiwa tu, ukianza kuhoji kuna nini anakukamata bila sababu, unatandikwa haswaa, unafika Kituoni.
Unaambiwa saini hapa ukiuliza kwanini mbona sielewi na saini nini? Unapigwa haswa, na baada ya hapo unawekwa ndani, kisha ndugu wakija wanaambiwa hawezi kutokae huyu akae kwanza siku 10 si anajifanya mjuaji anajua sheria tuone sasa, na mkija bila laki 4 hatoki milele
Baada ya siku 4 ndugu wanalia kuomba msaada utoke anaambiwa atoe laki 6, ndugu wanajichanga wanatoa laki 6 mtu anatoka akiwa kaumizwa na majeraha mengi mwilini ambayo kapigwa bila kosa.
Jeshi hili ni la kionezi kwa raia libadilishiwe muundo wake wa utendaji kazi, kwa jinsi ilivyo sasa Polisi yuko juu sheria na hasa kwa raia ambao hawana watetezi.
Wananchi hawa wa kawaida wananumizwa na kuteswa sana hiki chombo yani Polisi wakiwa na shida na pesa tu wanatafuta sababu ya kukamata raia na kuwatoza fedha nyingi bila kosa na hawataki kuhojiwa ukowahoji unapigwa haswa
Hiki chombo si rafiki kwa raia si msaada kwa raia kabisa na raia akinyanyaswa hakuna mamlaka ya kukiwajibisha hiki chombo, polisi wabadilishiwe namna ya kutekeleza kazi zao na kama ilivyo hivi sasa.
Sheria inataka umueleze mtuhumiwa kosa lake kabla ya kumkamata ,ni uvunjaji wa sheria na hata katiba unapoamua kumnyima mtu uhuru wake na kumdhalilishaPolisi hawezi kumweka mtu ndani bila kosa. Sio kazi yake. Hiyo ni kazi ya Mahamaka nao hiyo ni baada ya kukuta na hatia ya kutenda kosa chini ya Sheria fulani.
Polisi huwa wanamtuhumu mtu kuwa mkosaji. Kwa hiyo hiyo ni Tuhuma tu haijathibitika kuitwa ni kosa.
Kwa lengo la kuthibiti mwenendo wa shtaka au tuhuma dhidi ya Mhusika, Polisi wanao uwezo(huweza) kumhifadhi mtuhumiwa kwa kumweka chini ya Ulinzi i.e. Mahabusu.
Mtuhumiwa anaweza kupata mdhamana kutegemea na aina ya tuhuma zilizopo dhidi yake. e.g. Mtu anayetuhumiwa kwa mauaji huwa hakuna mdhamana. Lakini mtu anayetuhumiwa kwa kupigana anaweza kupata mdhamini.
Wapo baadhi ya watu wachache hujikuta wanawakati mgumu na Polisi kutegemea na jinsi wanavyo-react wanapoambiwa uko chini ya ulinzi. Mtu anaambiwa uko chini ya ulinzi na anauliza ni kwa Tuhuma/Kosa gani ; anaambiwa utafahamishwa ukifika Kituoni. Hapo inakuwa shida. Hataki kwenda licha ya Taratibu za ukamataji kuzingatiwa. Wakati mwingine inakuwa kama wanaokamatwa wanawalazimisha Polisi kutumia nguvu. Kama mtu unauhakika mnaenda kituoni kweli; kwa nini usiende? Ukifika Kituoni jitahidi kujibu unachoulizwa. Kumbuka hayo maandishi ya Maelezo (statement)ya Polisi unaweza kuikataa Pale mahakamani.
Kituoni walinipeleka baada ya kuona nimepata majeraha na watu wameanza kudadisi pale njiani. Tulipofika kituoni pale KISASA tulimkuta askari mmoja wa makamo mweupe kidogo, mwembamba mrefu. Waliaongea nae kidogo tu wakaondoka na pikipik yao SINORAY. Baada kama dakika ishirini yule askari wa kituo aliniruhusu bila maandishi wala maelezo yeyote. Kiufupi baada ya kutoka pale kituon sikufanya chochote wala kumwambia yeyote mpaka leo hii, kwa kuhofia kupoteza muda na fedha. Namwambia tu afande FRED na mwenzake mfupi, mweusi ana mwili kidogo kuwa sitowasahau KAMWE na NIMEMUACHIA MUNGU.Kituoni uliambiwa una kosa gani ?
Je ulitokaje kituoni kwa kudhaminiwa au kuruhusiwa bila masharti yoyote ?
Ni kweli hukuwa unajua lolote kuhusu eneo hilo ? Je wahusika wamewahi kukuomba radhi kwa yaliyotokea ?
Pole Sana
Pole sanaKituoni walinipeleka baada ya kuona nimepata majeraha na watu wameanza kudadisi pale njiani. Tulipofika kituoni pale KISASA tulimkuta askari mmoja wa makamo mweupe kidogo, mwembamba mrefu. Waliaongea nae kidogo tu wakaondoka na pikipik yao SINORAY. Baada kama dakika ishirini yule askari wa kituo aliniruhusu bila maandishi wala maelezo yeyote. Kiufupi baada ya kutoka pale kituon sikufanya chochote wala kumwambia yeyote mpaka leo hii, kwa kuhofia kupoteza muda na fedha. Namwambia tu afande FRED na mwenzake mfupi, mweusi ana mwili kidogo kuwa sitowasahau KAMWE na NIMEMUACHIA MUNGU.
Rais aliunda Jopo la kurekebisha haya so inatakiwa kihoji utekelezaji wa mrejesho wao umefikia wapi?Polisi anakukamata huna kosa au kwa kosa la kuhisiwa tu, ukianza kuhoji kuna nini anakukamata bila sababu, unatandikwa haswaa, unafika Kituoni.
Unaambiwa saini hapa ukiuliza kwanini mbona sielewi na saini nini? Unapigwa haswa, na baada ya hapo unawekwa ndani, kisha ndugu wakija wanaambiwa hawezi kutokae huyu akae kwanza siku 10 si anajifanya mjuaji anajua sheria tuone sasa, na mkija bila laki 4 hatoki milele
Baada ya siku 4 ndugu wanalia kuomba msaada utoke anaambiwa atoe laki 6, ndugu wanajichanga wanatoa laki 6 mtu anatoka akiwa kaumizwa na majeraha mengi mwilini ambayo kapigwa bila kosa.
Jeshi hili ni la kionezi kwa raia libadilishiwe muundo wake wa utendaji kazi, kwa jinsi ilivyo sasa Polisi yuko juu sheria na hasa kwa raia ambao hawana watetezi.
Wananchi hawa wa kawaida wananumizwa na kuteswa sana hiki chombo yani Polisi wakiwa na shida na pesa tu wanatafuta sababu ya kukamata raia na kuwatoza fedha nyingi bila kosa na hawataki kuhojiwa ukowahoji unapigwa haswa
Hiki chombo si rafiki kwa raia si msaada kwa raia kabisa na raia akinyanyaswa hakuna mamlaka ya kukiwajibisha hiki chombo, polisi wabadilishiwe namna ya kutekeleza kazi zao na kama ilivyo hivi sasa.
Polisi hawajawahi kuzingatia taratibu zao, wao hutumia vitisho na mikwara pamoja kumuweka mtu selo ili atoe pesa au ndugu zake watoe pesa.Mbona inaeleweka Polisi huzingatia Taratibu zilizowekwa kisheria katika Utekelezaji wa majukumu yao. Wewe ilkuwaje?
Askari polisi wana roho mbaya zaidi ya majambazi, kukiwa na issue mbaya inayowahusu wakajua kuwa wewe unaifahamu wanakuua bila hata ya kujiuliza mara mbili lakini jambazi anakuwa hatari pale anapokuwa kwenye operation zake nje ya hapo they're cool dudes.Imefika mahali ni afadhari ukutane na jambazi huenda anaweza akaingiwa roho ya huruma sio hawa polisi wetu wana unyanyasaji mkubwa sana aisee sina hamu na hawa watu hasa akisha jiona kabeba bunduki na kavaa jezi anajiona ni mungu.
Safi sana hii 👆 👆 komenti. Polisi wakikusoma ndipo wanaanzisha mikwara. Lakini ukikomalia msimamo wako watajirudi kwani nao kama binadamu wengine wanayo hofu ya "huyu anapata wapi ujasiri na kushupaa hvi"? Cha msingi ni wewe kutoogopa kuwekwa selo. Selo zimejengwa kwa ajili ya watu; na watu ni mimi na wewe.Polisi hawajawahi kuzingatia taratibu zao, wao hutumia vitisho na mikwara pamoja kumuweka mtu selo ili atoe pesa au ndugu zake watoe pesa.
Wakiona pesa au dalili kwamba pesa zinatolewa hapo ndiyo utaona tone inabadilika wanakuwa friendly na kuanza kujichekeshachekesha kama mabwege, unaona mtu anaitwaitwa kutoka selo akae kwenye benchi au anapitiwapitwa hapo selo kuulizwa kama yuko poa.
Wanazingua sana, mchawi wao huwa ni pesa au ipigwe simu kutoka mamlaka za juu wapigwe mikwara hapo ndiyo huwa wanaanza kutafutana na kuhaha.