KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Mkuu '4 7mbatizaji', utaniwia radhi kama nimeonekana kuwa ninafoka; la hasha sikuwa na maana ya kuonekana hivyo, na wala hakuna "shari" yoyote hapo! Hata sielewi ni kwa vipi umeichukulia kuwa hivyo. Sioni popote katika maandishi yangu panapoonyesha "shari".Mbona imeandika KWa kunifokea , hoja yako ipo kushari Sana, ok naeshim mawazo yako mkuu, ila binafsi naona umejadili KWa kulaisisha sana
Magufuli alikuwa na roho ya uharibifu.Ubarikiwe Sana ndugu yangu.itachukua muda mrefu ku heal maumivu ya jpm
Nimekuelewa kiongozi, usijali mkuuMkuu '4 7mbatizaji', utaniwia radhi kama nimeonekana kuwa ninafoka; la hasha sikuwa na maana ya kuonekana hivyo, na wala hakuna "shari" yoyote hapo! Hata sielewi ni kwa vipi umeichukulia kuwa hivyo. Sioni popote katika maandishi yangu panapoonyesha "shari".
Punguza hasira mkuu,all in all Hali ni mbaya Sana ,Sitakujibu maana huna akili... Wapi ulisha ona uchumi unadhibitiwa kwa mtutu wa bunduki?
Unamkumbuka Magu kwa mlango wa nyuma....Serikali makini inge-deal na mambo haya na si kuhangaika kufunga wapinzani.
Utakoma! CCM bado ipo sana tu!By mdau(Freddie) kupitia twitter:
" Ndoo ya Lita kumi ya mafuta imefika 52000 na kubwa ni 102000 mara mbili ya Bei ya Miezi 10 ilopota. Tozo, Umeme, Gas vyote juu huku mishahara chini. Hii CCM ni Tatizo kwenye Taifa letu, Tusipochukia Hatua we'll starve to death."
Huyu alietuongezea deni la Taifa kwa kiasi cha kutisha.Unamkumbuka Magu kwa mlango wa nyuma....
Unamkumbuka Magu kwa mlango wa nyuma....
Nilijua utapinga hadharani but moyoni unamkubali inatoshaHuyu alietuongezea deni la Taifa kwa kiasi cha kutisha.
Hopeless kabisa nyie watu.
Utakoma! CCM bado ipo sana tu!
Hayo yote yanawapata wapinzani tu.By mdau(Freddie) kupitia twitter:
" Ndoo ya Lita kumi ya mafuta imefika 52000 na kubwa ni 102000 mara mbili ya Bei ya Miezi 10 ilopota. Tozo, Umeme, Gas vyote juu huku mishahara chini. Hii CCM ni Tatizo kwenye Taifa letu, Tusipochukia Hatua we'll starve to death."
Wapinzani makini walipokuwepo bungeni, ilikuwepo kambi rasmi inayotambulika iliyosheheni hoja nyingi mbadala na zenye madini yaliyoshiba mpaka ikafikia makada wa chama tawala kuingiwa na hofu kubwa na kuamua mijadala makini ndani ya Bunge isionyeshwe mbashara. Kama hiyo haitoshi ghiliba na rushwa zikatumika ili kung'oa baadhi ya vichwa vilivyokuwepo kambi ya upinzani ili vifanye usaliti na kuunga mkono juhudi za mfalme aliyepita.By mdau(Freddie) kupitia twitter:
" Ndoo ya Lita kumi ya mafuta imefika 52000 na kubwa ni 102000 mara mbili ya Bei ya Miezi 10 ilopota. Tozo, Umeme, Gas vyote juu huku mishahara chini. Hii CCM ni Tatizo kwenye Taifa letu, Tusipochukia Hatua we'll starve to death."
Mungu alisha wapiga upofuSerikali makini inge-deal na mambo haya na si kuhangaika kufunga wapinzani.
Bin valuvalu.....Vululuvululu...
Utamkumbuka wewe pekee yako maana ndiyo ulikuwa unamuabudu kama Mungu wako.Unamkumbuka Magu kwa mlango wa nyuma....