mfumuko umeanza lini! Mie sijauona.Ebu wacha kuchaa chako,
Hivi hujui kuwa sasa hivi mfumuko wa bei upo juu sana?
Kazi ya serikali ni kuwajibika kwa wananchi bila kujali kama imefanya nini jana.
Ukija likizo utauona.mfumuko umeanza lini! Mie sijauona.
Hao wabunge wa Magufuli 90% awatorudi bungeni akiwemo ndugai na tulia, polepole analijua hili thus mapema kavunga eti atogombea.2025 tutawapa wabunge waliochaguliwa na wananchi na sio tume.upinzani watakuwa na viti vingi sana,maana shetani alishafungwa minyororo si tishio tena.Haya ndiyo madhara ya kuwa na bunge la chama kimoja.
Kila mtu anaogopa kuikosoa serikali maana anahofia kuhatarisha kitumbua chake.
Ukiwa na wabunge wamachinga kama Msukuma wa darasa la saba, unategemea nini?WAbunge wapo bungeni
Hakuna anayegusia mfumuko wa bei seriously.
Jana nimeshangaa sana kuna ndg yangu ametoka Masasi kwenda Dar nauli 28000/= kutoka 18000-22000 /= hii ni hatari sana.
Wabunge wetu wekeni thamani ya ubunge wenu.
Hakuna amani ya moyo katika maisha ya sasa.
Kwa hiyo Watanzania million 60 wote ni wafanya kazi wamepandishwa vyeo na mishahara yao imependaUsilete umbea! Katika miezi michache hii, serikali imefanya mambo makubwa kuliko miaka mitano ya serikali iliyopita. Mishahara imepanda, na watu wamepanda madaraja, sasa wewe unalilia nini?
Habari wameipataHao wabunge wa Magufuli 90% awatorudi bungeni akiwemo ndugai na tulia, polepole analijua hili thus mapema kavunga eti atogombea.2025 tutawapa wabunge waliochaguliwa na wananchi na sio tume.upinzani watakuwa na viti vingi sana,maana shetani alishafungwa minyororo si tishio tena.
Wachana na huyu zombie wa lumumbaKwa hiyo Watanzania million 60 wote ni wafanya kazi wamepandishwa vyeo na mishahara yao imependa
Unajuwa asilimia ngapi ya Watanzania wameajiriwa na Serikali?
Wewe huna sifa ya kujua mambo yanayo hitaji kutumia akili.mfumuko umeanza lini! Mie sijauona.
Na nchi ina furaha...hewa ikawa nyepesi baada ya tarehe ileeeee?Usilete umbea! Katika miezi michache hii, serikali imefanya mambo makubwa kuliko miaka mitano ya serikali iliyopita. Mishahara imepanda, na watu wamepanda madaraja, sasa wewe unalilia nini?
Hao waliopandishwa vyeo ni wangapi? wakati huku kwenye wakala ni malalamiko kila kona......huyo ni wa kupuuza tu hajui hata analoongea.Kwa hiyo Watanzania million 60 wote ni wafanya kazi wamepandishwa vyeo na mishahara yao imependa
Unajuwa asilimia ngapi ya Watanzania wameajiriwa na Serikali?
Dah uyu nae ni mtanzania pia, Bro ukihama kwa dada utaelewa uyu jamaa analozungumzia.Usilete umbea! Katika miezi michache hii, serikali imefanya mambo makubwa kuliko miaka mitano ya serikali iliyopita. Mishahara imepanda, na watu wamepanda madaraja, sasa wewe unalilia nini?
Watu waliopanda madaraja na mishahala hawazidi milioni tatu ukijumulisha na wafanyakazi wote sasa hao ndo wasababishe hali nzuli kwa milioni 60?Usilete umbea! Katika miezi michache hii, serikali imefanya mambo makubwa kuliko miaka mitano ya serikali iliyopita. Mishahara imepanda, na watu wamepanda madaraja, sasa wewe unalilia nini?
Haya ndiyo maisha wanayotaka wale vijana wa pale mjengoni,, sasa na sisi kajamba nani inatusaidia ni hiyo mishahara iliyopandishwa,,Usilete umbea! Katika miezi michache hii, serikali imefanya mambo makubwa kuliko miaka mitano ya serikali iliyopita. Mishahara imepanda, na watu wamepanda madaraja, sasa wewe unalilia nini?
Sasa tabasamu mliloshangilia kurejeshewa na nchi kufunguliwa si ndio hayo?! Tulieni.Dah uyu nae ni mtanzania pia, Bro ukihama kwa dada utaelewa uyu jamaa analozungumzia.
Sekta ipi iyo iliyopandisha mishahara na kwaasilimia ngapi
Yeye amezungumzia mfumuko wa bei na sio mishaharaUsilete umbea! Katika miezi michache hii, serikali imefanya mambo makubwa kuliko miaka mitano ya serikali iliyopita. Mishahara imepanda, na watu wamepanda madaraja, sasa wewe unalilia nini?
Kwani tuna wabunge? Si tulishakubaliana kwamba lile ni kusanyiko la mazuzu?WAbunge wapo bungeni
Hakuna anayegusia mfumuko wa bei seriously.
Jana nimeshangaa sana kuna ndg yangu ametoka Masasi kwenda Dar nauli 28000/= kutoka 18000-22000 /= hii ni hatari sana.
Wabunge wetu wekeni thamani ya ubunge wenu.
Hakuna amani ya moyo katika maisha ya sasa.
Tangu lini wabunge wa CCM wakajadili mfumuko?WAbunge wapo bungeni
Hakuna anayegusia mfumuko wa bei seriously.
Jana nimeshangaa sana kuna ndg yangu ametoka Masasi kwenda Dar nauli 28000/= kutoka 18000-22000 /= hii ni hatari sana.
Wabunge wetu wekeni thamani ya ubunge wenu.
Hakuna amani ya moyo katika maisha ya sasa.
Yupo kwa shemeji yake hivyo anakula na kulala bureHao waliopandishwa vyeo ni wangapi? wakati huku kwenye wakala ni malalamiko kila kona......huyo ni wa kupuuza tu hajui hata analoongea.