Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Hili ukweli linakera sana,wakat hao watu wanakuja ukiwaeleza changamoto za hapo kituo cha kazi hawazitatui...........Wiki hii hapo Muhimbili kile kipimo chao kimeharibika tena......kisa kimeelemewa nadhan ni MRI (kama sijakosea)😵Mganga mkuu kachoka yani kila kukicha mara kaja mkuu wa wilaya hajakaa vizuri kavamia waziri hajakaa vizuri mara kaja katibu, hajakaa vizuri kaja Makonda na makamera.
hii nchi kila mtu anajifanya anahusika na kila kitu.
wanakuja kufanya nn ? kwani yy anareport kwao ?Kwani wakija na mambo yako vizuri tatizo linakuwa wapi,
safi saanaHuyu ni mfano wa kuigwa, haifai kuweka rehani taaluma yako kwa wanasiasa kisa tonge
Mzee Abdul Jumbe alijivua nyadhifa zake zote kutoka urais hadi uchama,,,,je alikuwa mbabaishaji?sema Tanzania haijazoea kuskia au kuona watu wakiamua kuwajibika........Huyo ni doctor mbabaishaji tu. Maana angekuwa mtendaji mzuri asingejivua. Ukanjanja wake umefikia mwisho.
Mganga mkuu kachoka yani kila kukicha mara kaja mkuu wa wilaya hajakaa vizuri kavamia waziri hajakaa vizuri mara kaja katibu, hajakaa vizuri kaja Makonda na makamera.
hii nchi kila mtu anajifanya anahusika na kila kitu.
mkuu acha porojo, kuwa daktari sio mchezoBora aondoke,wasomi Kibao hawana kazi
Ajira moja hiyo ipo wazi.
Amana Hospital kwenyewe kila siku majanga tu,inaonekana amejitumbua mwenyewe.
Alizoea kufanyakazi kwa mazoea,na kama yupo above 45yrs basi ni muda wa kaachia,damu changa zichukue ajira.
IT HAS TO STOP!🙁Big up daktari, ifike mahali wasomi wajielewe kama huyu. Utakuta kaKatibu tu wa afya au ka afisa utumishi kanamsumbua mtu na maelimu yake. IT HAS TO STOP. Wasomi wengine mjiongeze na nyie.
wengi wanaonekana kuegemea upande mmoja bila kuwa na uhakika hasa mashinikizo hayo ni yapi .... then kupata na taarifa ya upande huo mwingne unaolalamikiwa .....Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Amana Jijini Dar Es Salaam Dr.Shimwela amejivua madaraka hayo na kuacha kazi ndani ya masaa 24 baada ya kuchoshwa na kufanya kazi kwa mashinikizo na kufuatiliwa kila mara na vyombo vya dola, kasema ni heri afanye shughuli zake binafsi kwa uhuru kuliko hivi ilivyokuwa.
Wivu tuHuyu dr shimelwa achunguzwe nilishangaa anapata wapi pesa za kununua magari ya kifahari kama vile Range rover na Suzuki tena zero kilometa kutoka cfao motors yeye kama mtumishi wa umma atuambie pesa hizi amezitoa wapi
Acha roho ya kimasikini!Huyu dr shimelwa achunguzwe nilishangaa anapata wapi pesa za kununua magari ya kifahari kama vile Range rover na Suzuki tena zero kilometa kutoka cfao motors yeye kama mtumishi wa umma atuambie pesa hizi amezitoa wapi
wengi wanaonekana kuegemea upande mmoja bila kuwa na uhakika hasa mashinikizo hayo ni yapi .... then kupata na taarifa ya upande huo mwingne unaolalamikiwa .....
THE FACT OF ANY ISSUE IS WHEN A STORY IS BALANCED FROM BOTH SIDES CONCERNED
Ni jambo la kusikitisha kwa daktari kuacha kazi.Kusomea udaktari inachukua miaka mingi hadi kuanza kufanyakazi .Nashangaa watu wanatuma msg kama kitu alichofanya daktari ni kitu chepesi.Naomba wanasiasa punguzeni mihemko ili wataalamu wetu wafanyekazi ama sivyo mambo yatazorota.Mganga Mkuu Mfawidhi wa Hospitali ya Amana Jijini Dar Es Salaam Dr.Shimwela amejivua madaraka hayo na kuacha kazi ndani ya masaa 24 baada ya kuchoshwa na kufanya kazi kwa mashinikizo na kufuatiliwa kila mara na vyombo vya dola, kasema ni heri afanye shughuli zake binafsi kwa uhuru kuliko hivi ilivyokuwa.
Unajua wapo wangapi na wanatakiwa wangapi nchi hii au unaropoka tu.Tuache unafiki madaktari na manesi Huduma zao Ni mbovu hivyo usimamizi WA Katibu unahitajika. Kama yy hapati guess ya kupiga deal asilete visingizio
kila mtu keshakuwa kambale ndani ya taifa letu.Mganga mkuu kachoka yani kila kukicha mara kaja mkuu wa wilaya hajakaa vizuri kavamia waziri hajakaa vizuri mara kaja katibu, hajakaa vizuri kaja Makonda na makamera.
hii nchi kila mtu anajifanya anahusika na kila kitu.
Inachosha mkuu!Kwani wakija na mambo yako vizuri tatizo linakuwa wapi,
Taarifa inasema kachoka kufanya kazi kwa mashinikizo, umeelewa?Kama yuko sawa kwenye kazi zake tatizo ni nini?
Uko sahihi, na huo ndio ukweli ambao kwa sasa uko wazi kabisa!Ufanisi umepotea maofisi mengi ya umma watu hawafanyi kazi kwa moyo
Achana na huyo mpuuzi anayetaka kila mtu awe lofa kama yeye!Physician aliyesoma na kufanya kazi Germany hashindwi kuwa na Gari hizo, pia ana clinic yake. CFAO wanakopesha magari kupitia bank yako. Stanbic