Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?
Hivi mgeni wetu rasmi kwenye mkutano wa mambuzi alishaondoka au bado anapiga story mambuzi?
 
Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi.

hebu msikilize na wewe


😆😀😄😃🤣
Nmecheka sanaa japo sio kwa kufurahia... Bali kwa mshangao! 😲
 
Kwani uongo?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi.

hebu msikilize na wewe


Lugha ziko nyingi CCM oyee CCM oyee , chama Cha mambuzi, chama Cha makondoo.
 
Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi.

hebu msikilize na wewe


Jamani huyu mtangazaji hata hakupitia? Jamhuri ya Sahrawi anaiitaje Sarahawi! Si matusi haya? Hajaisikia tangu kuzaliwa? Halafu katika Itifaki za Kimataifa huwezi kumtaja mtu, mheshimiwa, kwa jina moja tu, first name. Mpaka lini sisi Watanzania tutafanya mambo chini ya kiwango na kiholela holela tu kwa mazoea. Hamjui kwaba wageni wataondoka na picha mbaya?
Kwanza hapo kungekuwa na watarjumani experienced kama wa lugha tano hivi. Mna mapesa ya kununua mashangingi hamna ya kuwalipa watarjumani? Ovyo kabisa nchi hii. Uswahili swahili tu umetawala hakuna content.
 
Huyu mwakilishi wa Ethiopia afadhali ametupatia cha 'kusema' na kucheka, angalau tuondoe misongo ya mawazo!
 
Mkutano ujao Mkt awekewe switch ya kuzima mic ya mzungumzaji. Je hakuna mtu aliye ombwa kumfundisha huyu kirefu cha CCM pengine ubalozini kwao au hapo ndani ya ukumbi?
 
Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi.

hebu msikilize na wewe



Huyo kiswahili sio lugha yake, ww umeona furaha ipi? Shida yako uitukane CCM, please CCM uiheshima kama Baba na Mama yako..
 
Wamekutana na wakufanana nao(ombaomba) wamebaki kulialia.
Kama hukuwahi kusikia kwamba Ben Saanane ametoweka and presumably dead, sorry for being deaf... mimi nilisikia, and I felt it coz' unlike you, sikumbatii ufedhuli!!

Kama hukuwahi kusikia kwamba Tundu Lissu alipigwa makumi ya risasi, sorry for being deaf... mimi nilisikia, and I felt it coz' unlike you, sikumbatii ushenzi dhidi ya binadamu wengine!

Kama hukuwahi kusikia habari za Anzory Gwanda kutoweka and presumbly dead, again, sorry for being deaf... mimi nilisikia and felt it coz' unlike you, mimi sio mshadadia ukatili dhidi ya binadamu wengine!

Kama hukuwahi kusikia habari za Erick Kabendera kuendesha Genge la Uhalifu, sorry for being that deaf... mimi nilisikia and I felt it unlike you unayehusudu udhalimu kwa ajili ya siasa!!

Kama ulikuwa husikii zile kesi walizokuwa wanafunguliwa watu kiholela huku wakibambikiwa uhujumu uchumi na money laundering.... sorry for being deaf, mimi nilikuwa nasikia and I felt it unlike you mtetezi wa udhalimu..

Kama ulikuwa husikii zile kesi za mara kwa mara za eti matumizi mabaya ya mtandao hadi watu tukaanza kuigopa JF, again, sorry for being deaf but am not!

Kwahiyo ni upumbavu uliovuka mipaka ya upumbavu kuona nilikuwa nampinga JPM kwa sababu ya dini yake...

Something tells me labda wewe ulikuwa unashadadia huo ushenzi na kujifanya ulikuwa huuoni kwa sababu tu huenda mna-share imani manake wapo wajinga wa aina hiyo waliokuwa wanampinga tu kwa sababu ya dini au kabila lake, na wapo waliokuwa wanatetea kila kitu kwa sababu tu wana-share dini au kabila!

Btw, wakati nampigia kampeni 2015 alikuwa Mwislam?

Wakati namuunga mkono mwanzoni mwa utawala wake alikuwa Mwislam?

Of course, kuna mambo mengi nilimpinga lakini yapo mengine nilikuwa namuunga mkono kwa sababu siasa zangu ni za kujadili ISSUES na sio hizo siasa zenu za kihayawani!

That being saidi, wakati hayo mengine namuunga mkono alikuwa dini ipi?

FYI....

Nachukia sana watu wanaondekeza chuki za kidini na kikabila bila kujali mhusika ni dini au kabila gani!

Na hata hao Waislam hapa JF si mara moja wala mara mbili nimewaambia waache UDINI...
Tumefundishwa Bibi Titi alikuwa mwanamke shupavu katika harakati za kupigania uhuru, lakini HAKUNA popote tulipofundishwa alikuwa Mwanamke wa Kiislamu Shupavu katika kupigania Uislamu!!

And FYI, hata Madrasa nimesoma, tena Kurasini Dar es salam... mwendo mfupi tu kutoka Kariakoo lakini HATA SIKU MOJA hatukuwahi kufundishwa habari za Bibi Titi!!!

ACHA UDINI...
Namheshimu sana Mzee Mohammed Said kwa sababu kwa umri wake anaweza kuwa hata babangu lakini hapo juu nilimwambia wazi kwamba aache udini; na hiyo haikuwa mara ya kwanza!

I'd sincerly say, I DESPISE YOU!!
 
Back
Top Bottom