Mgogoro ndani ya Simba unafukuta, Mo na bodi yake wasusa, Simba yasafiri Kwa njia ya barabara kuelekea Tabora

mpk
Baada ya suluhu ya mgogoro wa derby huko Ikulu Dodoma umekuwepo mgogoro mkubwa kwenye timu ya Simba

Bodi ya Simba na mdhamini mkuu Mo Dewji hawakufurahia uwakilishi wa viongozi wa Simba ambapo wengi walikuwa wazee wa Simba akina Dalali na Hasanoo

Wazee hao wa Simba hawakuwa na hoja au matakwa Yao ya kuwasilisha mbele ya Rais, TFF na bodi ya ligi zaidi wao waliburuzwa na kukubali kila jambo la Yanga

CEO wa Simba Bi Zubeda na viongozi wengine waandamizi hawakujulishwa kuhusu kikao hicho

Maamuzi ya hicho kikao ilikuwa kuhairishwa mechi hadi 25 June, hili limewaudhi wengi

Leo Simba wamepanda SGR asubuhi kuelekea Dodoma na baada ya hapo watapanda basi kuelekea Tabora ambapo watatarajia kufika Tabora saa 11 join na mechi ni kesho, hapa Kuna athari za uchovu wa safari utaathiri timu

Mo amesusa amesema hatatoa support yoyote na anaombwa Simba apigwe mechi zote kutia ndani mechi ya derby

Mangungu ameachiwa timu na anaendesha kiugumu

Tuombe Mungu huu mgogoro uishe salama
mpka waseme shikamoo yanga
 
Tajiri yeyote mwenye akili hawezi kukubali timu kutumika kisiasa itamharibia shughuli zake mkuu. Refer kwa yule alikua boss wa Chelsea Abramovich. Ukaribu wake na putin uli mcost. Haiwezekani mtu atoe pesa zake na timu itumike kisiasa ni upumbavu
 
Baada ya suluhu ya mgogoro wa derby huko Ikulu Dodoma umekuwepo mgogoro mkubwa kwenye timu ya Simba

Bodi ya Simba na mdhamini mkuu Mo Dewji hawakufurahia uwakilishi wa viongozi wa Simba ambapo wengi walikuwa wazee wa Simba akina Dalali na Hasanoo

Wazee hao wa Simba hawakuwa na hoja au matakwa Yao ya kuwasilisha mbele ya Rais, TFF na bodi ya ligi zaidi wao waliburuzwa na kukubali kila jambo la Yanga

CEO wa Simba Bi Zubeda na viongozi wengine waandamizi hawakujulishwa kuhusu kikao hicho

Maamuzi ya hicho kikao ilikuwa kuhairishwa mechi hadi 25 June, hili limewaudhi wengi

Leo Simba wamepanda SGR asubuhi kuelekea Dodoma na baada ya hapo watapanda basi kuelekea Tabora ambapo watatarajia kufika Tabora saa 11 join na mechi ni kesho, hapa Kuna athari za uchovu wa safari utaathiri timu

Mo amesusa amesema hatatoa support yoyote na anaombwa Simba apigwe mechi zote kutia ndani mechi ya derby

Mangungu ameachiwa timu na anaendesha kiugumu

Tuombe Mungu huu mgogoro uishe salama
Acha umbea
 
1. Lini Simba ilienda Tabora kwa ndege?

2. Je, uto mwaka huu hawajapanda treni ya SGR?

Kwa kukusaidia mleta mada, Simba ni kama imeshamaliza msimu wake. Hivi sasa inacheza kwa kurelax kumaliza mechi zake zilizobaki.
 
downloadfile-1~2.jpg
 
Nilisikia chombo kimoja cha habari kikiripoti juu ya mgogoro japo hawakuweka wazi ni mgogoro gani..

Jadda Scars GENTAMYCINE kuna ukweli wowote?? Enyi maafisa waandamizi wa mnyama na baadhi yenu mkiwa maafisa vipenyo wa serikali.
 
Back
Top Bottom