mpka waseme shikamoo yangaBaada ya suluhu ya mgogoro wa derby huko Ikulu Dodoma umekuwepo mgogoro mkubwa kwenye timu ya Simba
Bodi ya Simba na mdhamini mkuu Mo Dewji hawakufurahia uwakilishi wa viongozi wa Simba ambapo wengi walikuwa wazee wa Simba akina Dalali na Hasanoo
Wazee hao wa Simba hawakuwa na hoja au matakwa Yao ya kuwasilisha mbele ya Rais, TFF na bodi ya ligi zaidi wao waliburuzwa na kukubali kila jambo la Yanga
CEO wa Simba Bi Zubeda na viongozi wengine waandamizi hawakujulishwa kuhusu kikao hicho
Maamuzi ya hicho kikao ilikuwa kuhairishwa mechi hadi 25 June, hili limewaudhi wengi
Leo Simba wamepanda SGR asubuhi kuelekea Dodoma na baada ya hapo watapanda basi kuelekea Tabora ambapo watatarajia kufika Tabora saa 11 join na mechi ni kesho, hapa Kuna athari za uchovu wa safari utaathiri timu
Mo amesusa amesema hatatoa support yoyote na anaombwa Simba apigwe mechi zote kutia ndani mechi ya derby
Mangungu ameachiwa timu na anaendesha kiugumu
Tuombe Mungu huu mgogoro uishe salama
Tulia muda utaongea wenyeweWakati mnawachezesha ngoma hadharani hao wazee kule Zanzibar kabla ya fainali na Berkane walikuwa na umuhimu sio
Mtego upi huo,huoni hata Mbet kajiondoa 5imba na ana mkataba wa 26blHuu unaweza kua mtego nawashauri yanga wasiamini sana hiki wanachokisikia
Nani kakuambia! Mwenyekiti wako Mangungu amekubali tayari.Hatuchez
Tajiri yeyote mwenye akili hawezi kukubali timu kutumika kisiasa itamharibia shughuli zake mkuu. Refer kwa yule alikua boss wa Chelsea Abramovich. Ukaribu wake na putin uli mcost. Haiwezekani mtu atoe pesa zake na timu itumike kisiasa ni upumbavuBaada ya suluhu ya mgogoro wa derby huko Ikulu Dodoma umekuwepo mgogoro mkubwa kwenye timu ya Simba
Bodi ya Simba na mdhamini mkuu Mo Dewji hawakufurahia uwakilishi wa viongozi wa Simba ambapo wengi walikuwa wazee wa Simba akina Dalali na Hasanoo
Wazee hao wa Simba hawakuwa na hoja au matakwa Yao ya kuwasilisha mbele ya Rais, TFF na bodi ya ligi zaidi wao waliburuzwa na kukubali kila jambo la Yanga
CEO wa Simba Bi Zubeda na viongozi wengine waandamizi hawakujulishwa kuhusu kikao hicho
Maamuzi ya hicho kikao ilikuwa kuhairishwa mechi hadi 25 June, hili limewaudhi wengi
Leo Simba wamepanda SGR asubuhi kuelekea Dodoma na baada ya hapo watapanda basi kuelekea Tabora ambapo watatarajia kufika Tabora saa 11 join na mechi ni kesho, hapa Kuna athari za uchovu wa safari utaathiri timu
Mo amesusa amesema hatatoa support yoyote na anaombwa Simba apigwe mechi zote kutia ndani mechi ya derby
Mangungu ameachiwa timu na anaendesha kiugumu
Tuombe Mungu huu mgogoro uishe salama
Mwenyekiti Mangungu bado yupo yupo sana. Na kwenye uchaguzi ujao atatuletea Mwamba Christiano Ronaldo kuja kumfanyia kampeni. Na siyo Manzoki tena.Timu ifungwe tuache upumbavu, Mangungu huu ndio mwisho wake, Dalali na Hasanoo ni akina nani ? Kwa hili hatukubali
Acha umbeaBaada ya suluhu ya mgogoro wa derby huko Ikulu Dodoma umekuwepo mgogoro mkubwa kwenye timu ya Simba
Bodi ya Simba na mdhamini mkuu Mo Dewji hawakufurahia uwakilishi wa viongozi wa Simba ambapo wengi walikuwa wazee wa Simba akina Dalali na Hasanoo
Wazee hao wa Simba hawakuwa na hoja au matakwa Yao ya kuwasilisha mbele ya Rais, TFF na bodi ya ligi zaidi wao waliburuzwa na kukubali kila jambo la Yanga
CEO wa Simba Bi Zubeda na viongozi wengine waandamizi hawakujulishwa kuhusu kikao hicho
Maamuzi ya hicho kikao ilikuwa kuhairishwa mechi hadi 25 June, hili limewaudhi wengi
Leo Simba wamepanda SGR asubuhi kuelekea Dodoma na baada ya hapo watapanda basi kuelekea Tabora ambapo watatarajia kufika Tabora saa 11 join na mechi ni kesho, hapa Kuna athari za uchovu wa safari utaathiri timu
Mo amesusa amesema hatatoa support yoyote na anaombwa Simba apigwe mechi zote kutia ndani mechi ya derby
Mangungu ameachiwa timu na anaendesha kiugumu
Tuombe Mungu huu mgogoro uishe salama
Siku Ile ya ......aje mwingine ajishaue.....🎶Wakati mnawachezesha ngoma hadharani hao wazee kule Zanzibar kabla ya fainali na Berkane walikuwa na umuhimu sio
Eneo ambalo nahisi ndio kwenye mtego ni kwamba anataka kiwaaminisha yanga kua hayuko vizuri kumbe amejipanga ipasavyoMtego upi huo,huoni hata Mbet kajiondoa 5imba na ana mkataba wa 26bl