cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Ila mtu mwenye akili ndiye anajua BRICS itakuja kutukomboa? Na unaposema nazungumzia "Ki Pro West zaidi" Wewe unazungumzia Ki pro What?.....Labda nikuulize kutokana mada yako, Je kupimwa kiakili au kufaulu huo Mtihani wa uliousema, ni ku Support URUSI au Ukraine? Are you serious unajua dunia inaelekeza wapi wewe! Let me be specific, hivi nchi za Kiafrica zinajua kweli zinaelekewa wapi? Unadhani China na Urusi ndio zitaleta hiyo Check and balance ulimwenguni? Au ni kuburuzwa kwingine tu!
Jifunze kufikiri na kujiuliza maswali magumu, ndio utajua kwa nini hata nchi nyingi zilizopata misaada au direct support toka Russia ziko kimya au hazionyeshi misimamo ya wazi wazi kwa vita vya Ukraine/Russia hata Taiwan, usidhani ni wajinga na wapumbavu, ni realistic, hawako kwenye hiyo ideal world iliyoko kichwani kwako na mbayo haitakuwepo ulimwenguni.
"Ni mtu mjinga na mpumbavu TU ndie asiyefahamu kuwa NATO itakuja kutumika kunyakua nchi zetu tena na kuzitawala upya kama china na urusi zitacollapse kijeshi na kiuchumi."
Kweli uko mbali mno kiufahamu! Hivi unataka tutawaliwe mara ngapi!? Hivi bado unadhani Africa tuna uhuru kweli! Ni aibu kwa mtu kama wewe kutamka maneno kama hayo! Nadhani ni mpumbavu na mjinga asiyeijua hali yake halisi! Karne hii hatutawaliwa na mizinga na nguvu za kijeshi! Haya ndio matatizo ya kutoyatambua maradhi yetu! Unaumwa Cancer unaitibu kwa Panadol......Africa tuna safari ndefu sana......Kavulata wewe ni msomi kama ulivyodai kama unavyodai katika mada zako nyingi.....sasa kweli tutafika kama msomi kama wewe unashindwa kujua Africa tuko wapi!
Berlin conference ( 1884-1885) ya kuigawanya Africa inafanyika tena mbele yetu na agents wengine tunashindwa kuiona...Kwa hiyo mategemeo yako umejenga kwa Mrusi na mchina....Pole sana!.