RockCarnegie
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 963
- 1,927
Mkoba waufungue na kukagua fomu hizo kipengele kwa kipengele!MUWE MAKINI NA NEC!
Hakikisha mnakuwa makini katika kuchukua fomu. Wanaweza kuwawekea fomu ambazo zina dosari, specifically printed for you!
TAKE CARE! Salary Slip Mwanahabari Huru Chakaza
Ngoja tuchukue nchi, watakula walipopeleka mbogaNaona TBCCM na Channel ten tayari wako na UvCcm yao. Yaani Tbc wana vitu vya ajabu sana. Jana walikuwa full cover kwa wabeba mbeleko za Ccm wakati NCCR wakifanya kikao chao cha ndani.. Leo tukio la Chadema msiwategemee maana sio walipa kodi wa nchi hii.
Nafikiri baada ya uchaguzi itungwe sheria Tbc isiwe ina pewa ruzuku za serikali. Ipewe ruzuku na Ccm
Tunza mane yako haya tarehe 28 Oktoba 2020 usilielie baada ya watanzania kuamua JPM aendelee kwa miaka 10!Niko area D watu wabugujika machozi ya furaha kwa kutaka kumuona Mh, Lissu ..aaah Magufuli yuko ICU hawezi kutoboa hata mshindi wa tatu hataingia ,nadhani hii coalition yake na Tlp ndo itamsaidia kuingia top 5
Wewe ndio umeutendea haki huu uzi (kinachoendelea Dodoma)..., sisi wengine humu ni porojo tu....Tupo njiani kumlaki Ni YEYE YULE View attachment 1530554
Sura nzuri kumbe mchawi zandiki..Jidanganyeni tu magwanda
Kweli nyomi hatari!Tupo njiani kumlaki Ni YEYE YULE View attachment 1530554
Photo plz. Tupeni raha basiNiko area D watu wabugujika machozi ya furaha kwa kutaka kumuona Mh, Lissu ..aaah Magufuli yuko ICU hawezi kutoboa hata mshindi wa tatu hataingia ,nadhani hii coalition yake na Tlp ndo itamsaidia kuingia top 5
njia simple kama vipi wakifika watolewe upya, si ziko katika mfumo wa soft copy wasichukue ambazo ziko printed tiyari, kama wana mashakaMUWE MAKINI NA NEC!
Hakikisha mnakuwa makini katika kuchukua fomu. Wanaweza kuwawekea fomu ambazo zina dosari, specifically printed for you!
TAKE CARE! Salary Slip Mwanahabari Huru Chakaza
Ni Yeye 2020
Na mimi najenga nyumba ya gorofa 200 Kariakoo. Nina hakika hela zitaniishia katika uchimbaji wa msingi kabla hata nondo za huo msingi sijanunuwa.Nakubaliana na wewe , wengi wanamsifia magufuli usoni ili mkono uende kinywani ila moyoni hawapo nae kabisa.
Nhiii..... Nimecheka kimeko meko
Mkuu maendeleo ya nchi hii yanaletwa na wewe na Mimi si magufuli.Achana na propoganda uchwara za hawa wajinga wa ccmBy the way mtu anayeleta maendeleo ila hathamini utu wa watu huyo kwangu simthamini kabisa. Tundu lisu najua hataweza hata punje kuleta maendeleo lakini atajali sana utawala wa haki na sheria, sitarajii kusikia watu wakipotea chini ya tundu lisu.Mungu atutangulie atuwezeshe.
Mwaka huu tuko makini sana. Kila kasoro tumezitimeMUWE MAKINI NA NEC!
Hakikisha mnakuwa makini katika kuchukua fomu. Wanaweza kuwawekea fomu ambazo zina dosari, specifically printed for you!
TAKE CARE! Salary Slip Mwanahabari Huru Chakaza